LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,253
- 11,621
Ahahaha..hapana.Kwa story uliyosimulia kuhusu ex-wife wako mpaka mnafikishana barazani na kuachana mahakamani, ni wazi anachuki iliyokomaa sana juu yako, ni kana kwamba ni mtu ambaye kuna uovu mkubwa uliwahi kumfanyia, dah holding grudges ni kitu ambacho siwezi nina ex-girlfriend aliniachaga tena kwa matusi nikamwambia poa, sikumchukia badae tukawa tunatafutana kwa sms niliona tu sitaki mbichi hizi nikachange line asinipate.
Sijawah mfanyia kitu kikuubwa hivyo ila nafikiri she is that way. Kuna mambo niliyapuuzia sana toka mwanzo. But the woman ni mtu ambaye moaka namuoa, nilimkuta na nimemuacha bado anachuki hata juu ya baba yake mzazi!. Hata kwenye harusi yetu wala sendoff yake hakuhudhuria.
Nafikiri ana shida tu hiyo