Chuki ni sumu

Chuki ni sumu

Dunia ya sasa hasa nchi za kiafrika ukiangalia kwa jicho la tatu tupo km wildlife mwenye nguvu ndie ana survive

Sasa we jifanye mwanafunzi wa Yesu
Watakopa pesa hawatarudisha
Watamuita wife shem then watamtomba😅

Choose your circle wisely and suspect each other
hakika ndugu
 
Hakika ametukumbusha jambo jema, chuki ni sumu kali sana inaua polepole, inadhoofisha kila kiungo, moyo uliobeba chuki unafubaa na kusinyaa.

Shukrani kwa uzi bora wa weekend.
Ahsante
 
We kumbe dogo sana bado 😀 nikajua kipindi cha vita vya majimaji na ujiuji
Miaka ya 60's unaniambia Mimi mdogo?
Hebu mtafute memba yeyote wa hapa JF aliyezaliwa miaka ile kama utampata.
 
Laana ya chuki ndio naiogopa
Chuki ni sumu mkuu
 
Back
Top Bottom