Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

Hiyo Division II ya point 13 unayozungumzia ni ya nchi ipi?

Tuanzie hapo.
 
Mkuu mwenyewe kasoma kwa kuungaunga tu.. afu kusema UDSM ndio kimbilio la waliofaulu vizuri ni uongo tena wa kipumbavu kabisa.. nina jamaa zangu wana Div 3 na wapo hapo pia wengine ni diploma holders na wako hapo.. Sio kila mtu anapenda kusoma UDSM wengi hawapendi tena sana tu... UDSM ni chuo cha kawaida sana katka ishu nzima ya utoaji wa wahitimu walio smart...
 
Div 1 waende tu udsm bt kweny soko l ajira msitutenge sisi w vyuo hvi vngne maana hamchelewagi kutukata.
 
Infact kila mwanafunzi anandoto na ana taka asome UDSM
In most cases UDSM is over-rated! Huku kwenye system tunawaona hao wanaotoka hapo! Naona niishie hapo! Mimi nimesoma hapo miaka ya zamani enzi za kina Profesa Ndalio (ni marehemu kwa sasa), pale Chemistry Dpt. Product ya wakati huo ni tofauti kabisa na ya sasa japo jina limebaki!
 
Na huyu mleta mada shule yake nina mashaka nayo,atakuja na utetezi kwamba ni "typing error"
nikajua labda grading imebadilika,nilipata div 1 sikuchaguliwa udsm lakin niliesoma nae combi ileile na kupata 3 alisoma kwa hela ya Babaake hapo udsm kozi tilioitamani..
 
Pole sana Mkuu. Unasema Rais kaunga unga? Naona umevurugwa
 
Div 1 waende tu udsm bt kweny soko l ajira msitutenge sisi w vyuo hvi vngne maana hamchelewagi kutukata.
Suala la ajira ni jingine Mkuu. Hapa kinachozungumzwa ni wale waliofeli na chuki zao za udsm
 
Sio kila mwanafunz ana ndoto za kusoma udsm; kwan kuna coz kibao za maana hazpo kwenye hicho chuo. .na kusema wanaosoma udsm ni vipanga ni uongo pia. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…