Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Hapo ndio pagumu... lakini sio pagumu sana. Mkuu naamini wewe unaweza kuanzisha umoja huo...
Mi siwez na sina vigezo na masharti! Ila nawasws watu wanaeza chomekea u-Cdm na u-Ccm
Sent from Mchina
Diaspora wa Tanzania ni mzigo kwa Taifa, wapo wengine wanaishi mtoni lakini wanatumiwa hela kutoka bongo na wazazi wao. Wengine hata kurudi kusalimia ndugu zao, au kuja kula Bata holiday hakuna. Wengine wakirudi likizo wanakaa majumbani kwa wazazi wao kula kulala hawatoi hata senti ya matumizi. Wengine hawataki kwenda mkoa kwa mabasi wanalazimisha kuazima magari ya ndugu zao na wese tuwajazie, ukiwanyima wanasambaza lawama ukoo nzima. Diaspora wa Tanzania mchango wao ni JF MMU pekee, kwenye uchumi na ujasiriamali hutowaona kamwe. Sana Sana wakichoka kuosha vyombo huko utawaona Chit Chat. Usitegemee remittance kutoka kwa mijitu ya aina hii...
Hivi chuki dhuidi ya wana diaspora na hasa toka kwa wanasiasa na watu wenye hali nzuri za kimaisha hapa nyumbani inatokana na nini?
Cha ajabu ni kuwa mawaziri na viongozi kadhaa wa serikali ya nchi hii watoto wao wana uraia wa nchi mbili mbili japo sheria hiyo haipo. Mfano Waziri wa mambo ya nchi za nje ambaye diaspora iko chini yake, Bw Bernard Membe, watoto wake ni raia wa Canada, Sisemi kuwa kuwa na uraia wa nje ni dhambi lakini ungetegemea kuwa alikuwa na uwezo wa kuwaandikisha wanae kuwa ni raia wa Tanzania lakini alikubali waandikishwe kuwa ni raiua wa Canada. Cha ajabu ni kuwa Mheshimiwa Membe amekjuwa kimya sana huku watanzania ambao wako Diaspora wakiendelea kusulubiwa na wanasiasa na vyombo vya habari hii inanipelekea kulizia kuwa hivi chuki na husda dhidi ya wana Disapora (ambao wengi wao ni watoto wa maskini) inatokana na nini hasa?
Hivi vyama vya siasa vina maoni gani kuhusu hili suala?
you win the prize for ''most childish comment".
kitchen gossip and pub hearsay is the foundation of public policy? you should open a thinktank.
do you have any hard science to back up your argument sir (data, statistics.)
- Mkuu hakuna anayewachukia ila if anything mnajichukia wenyewe na kama kuna anayewachukia basi haelewi kabisa maisha ya huko yalivyo, Waziri Membe peke yake hawezi kuwapa Dual Citizenship wenye uamuzi ni Wabunge ambao nyie kwa ujumla wenu na mapesa yenu yote mmeshindwa kuwafikia na kuwaelimisha nini maana na faida ya kuwa na Dual Citizenship, na vilio vyenu huku JF kama hivi haviwezi kuwasaidia kabisa,
- Naona umem-target Waziri Membe binafsi kwa sababu ambazo wala hazina msingi kabisa kwa sababu kumbuka kwamba hata Rais wa sasa alipokuwa Waziri wa nje kwa miaka 10 hakuweza kulitatua hilo tatizo na hana mtoto mwenye uraia wa nchi mbili, ni maandiko yenu kama haya ndio huwa yanawatia nyongo sana waamuzi wa ishu yenu inaendelea kukwama, poleni sana!!
Le Mutuz
Sina hakika unataka data/ Statistics gani wakati hapo juu kuna kitu cha World Bank 2005 kikionyesha kuwa hamchangii chochote kwenye uchumi wa Tanzania. Pia tembelea jukwaa la Uchimi na biashara au Ujasiriamali uone kama Diaspora mnachangia hata mawazo kwenye uchumi wa nchi. Mwisho wa siku mnatudanganya kuwa hamji kujengo bongo mna apartments Manhattan kwenye value kubwa. Hata Mo Dewji ameeleza hii alipata kazi kubwa huko lakini kila mwezi Baba yake alikuwa anamtumia mkwanja...
Greetings Mutuz. Respect to you sir . Lakini why is it an issue of US vs THEM.
If someon moves from kigoma, or morogoro or arusha to dar does it become the same issue between himself and his home village?
The IOM, the World Bank , the IMF have all published documents extolling the benefits of greater engagement of countries with their respective diaspora.
I will provide you with all the relevant documentation.
Hao wanaojiita ma-diaspora hawana mchango wowote si tu kwa nchi hata kwenye familia zao,mimi nina ndugu wa damu kama watatu ni madiaspora,sijaona mchango wowote wanaoufanya au chochote cha maendeleo,ukimwambia nunua kiwanja ujenge anakwambia nina nyumba nimenunua London ya gorofa moja etc zaidi wakirudi wanakuta sis tunasonga mbele na maisha na uwa nawauliza hivi nyinyi na kukaa kwenu kote huko mbona hamna tofauti na mimi niliye bongo,na sana sana niko mbele zaidi yenu.Kingine wakikaa huko wanadhani huku tuko backward sana lakini wakifika wwanashnagaa kukuta wengine tuna miliki Hadi Hammer
Diaspora wa Tanzania ni mzigo kwa Taifa, Diaspora wa Tanzania mchango wao ni JF MMU pekee, . Sana Sana wakichoka kuosha vyombo huko utawaona Chit Chat. Usitegemee remittance kutoka kwa mijitu ya aina hii...
Mkuu ukiangalia asilimia kubwa ni wale wanaoogopa kupoteza nafasi zao kisiasa iwapo walio nje wataruhusiwa.
Solution kwa mtu anaetaka kuwa mwanasiasa TZ ni kuukana uraia alionao sasa na kurudi nyumbani kugombea
Mimi ni mhehe wa Kalenga, baba katokea Kalenga na mama Katokea Tosa maganga, wanangu pia ni full wahehe, sasa kesho nirudi nyumbani nione kenge yeyote ananisumbua, kwanza wengine ni wanyarwanda na warundi tu..