Chuki isiyo na sababu/msingi ni sawa sawa na uchawi

VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
8,145
Reaction score
12,743
CHUKI NI TUNDA LA UCHAWI

Awali ya yote leo sikujisikia kabisa kuandika kitu chochote ila nimeona ngoja niandike. Sio mtu wa kuandika na sio muandikaji mzuri. Ila tuvumiliane.

Zingatia mambo yafuatayo :

a. Chuki isiyo na sababu ni bure kabisa ni sawa kufukuza upepo.

b. Ili uchukie lazima uwe na sababu ya msingi ya kuchukia au kuchukizwa [reasonable cause/reason to hate].

c. Hauwezi kuchukia kitu/jambo au mtu bila sababu wewe utakua unashida ya kiakili au shida ya kisaikolojia au wewe ni Mchawi moja kwa moja kutoka Kuzimu. [you hate for no reason are you a Witch?].

d. Kuchukia ni hatua [step-by-step] sio kitu au jambo la hapo kwa hapo muda lazima uhusike kuamua.

e. Ili ugundue kwamba umechukia inakuhitaji muda wa kutafakari kuhusu kuchukizwa kwako na jambo fulani fulani [determine & understand].

f. Kum-defame mtu bila sababu hakuwezi kua sehemu ya nafuu [relief] kwako sababu ya chuki zako hio pia ni mbinu ya Kichawi.

g. Ikiwa hujachukizwa na lolote na huna sababu ya kuchukia ila unaamua tu kuchukia wewe huna tofauti na MCHAWI.

WACHAWI PITENI KIMYA KIMYA.
 
CHUKI NI TUNDA LA UCHAWI

Awali ya yote leo sikujisikia kabisa kuandika kitu chochote ila nimeona ngoja niandike. Sio mtu wa kuandika na sio muandikaji mzuri. Ila tuvumiliane.

Zingatia mambo yafuatayo :

a. Chuki isiyo na sababu ni bure kabisa ni sawa kufukuza upepo.

b. Ili uchukie lazima uwe na sababu ya msingi ya kuchukia au kuchukizwa [reasonable cause/reason to hate].

c. Hauwezi kuchukia kitu/jambo au mtu bila sababu wewe utakua unashida ya kiakili au shida ya kisaikolojia au wewe ni Mchawi moja kwa moja kutoka Kuzimu. [you hate for no reason are you a Witch?].

d. Kuchukia ni hatua [step-by-step] sio kitu au jambo la hapo kwa hapo muda lazima uhusike kuamua.

e. Ili ugundue kwamba umechukia inakuhitaji muda wa kutafakari kuhusu kuchukizwa kwako na jambo fulani fulani [determine & understand].

f. Kum-defame mtu bila sababu hakuwezi kua sehemu ya relief kwako sababu ya chuki zako hio pia ni mbinu ya Kichawi.

g. Ikiwa hujachukizwa na lolote na huna sababu ya kuchukia ila unaamua tu kuchukia wewe huna tofauti na MCHAWI.

WACHAWI PITENI KIMYA KIMYA.
WACHAWI PITENI KIMYA KIMYA🙏🏿😷😷🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿😂
 
Back
Top Bottom