Chuki haitoruhusiwa kwenye hii thread jamani ! (Fulani) Tuachie Chama Chetu !!

They Killed Martin Luther King Jr But His Voice And Dream Was Not Shurted,they Imprison Nelson Mandela But His Voice Was Not In Robben Island,zuma Hakusoma Leo Ana Shook The Foundations The Kaburu Mweusi Mbeki So Hao Wanao Kejeli Safari Kupigania Uhuru Wa Pili
 
thats why yesu alisema toa kwanza boriti lililopo jichoni mwako ndipo utoe kibanzi kilichopo katika jicho la mwenzako....sasa ya viongozi wa CCM yamemshinda anakurupukia ya mbowe je atayaweza?
 
thats why yesu alisema toa kwanza boriti lililopo jichoni mwako ndipo utoe kibanzi kilichopo katika jicho la mwenzako....sasa ya viongozi wa CCM yamemshinda anakurupukia ya mbowe je atayaweza?
WENGI UKO CCM UKIWAULIZA ELIMU ZAO WATAKWAMBIA KAMA SI KUKUMBIZA MWENGE KITAIFA BASI WALICHEZA NGOMA KAMA KOMBA.
 
WENGI UKO CCM UKIWAULIZA ELIMU ZAO WATAKWAMBIA KAMA SI KUKUMBIZA MWENGE KITAIFA BASI WALICHEZA NGOMA KAMA KOMBA.

kwi kwi kwi ...

naona wewe unatafuta ugomvi na memba mmoja machachari sana hapa JF ambaye aliungua vibaya sana kwenye mbio za mwenge.....! mie chimo!
 
kwani unafikiri chadema wanamatatizo na mbowe?
matatizo yapo kwa CCM so kuandika wenyewe hii thread wanashindwa thats why wamemtumia mtu kufanya kibarua hiki...

mada hii nimeleta mimi, na mimi sio ccm ! ukitaka kujua imewagusa wenyewe ona mods walivyoanza kucharuka na kuirusha huku !
 
mada hii nimeleta mimi, na mimi sio ccm ! ukitaka kujua imewagusa wenyewe ona mods walivyoanza kucharuka na kuirusha huku !

Naona inabidi uanzishe website yako ya wana ccm wenzako maana hii haikufai mtetezi wa mafisadi kama wewe.
 
KM

Hujawahi kushika nafasi yoyote ya juu lakini unakitetea chama cha mafisadi. Nyerere muasisi wa chama alipokuwa hai alikuwa akikemea maovu ndani ya chama kila kukicha. Sasa Warioba naye anakemea uozo ndani ya chama cha mafisadi. Acha unafiki kaka fungua macho uone uozo uliojaa CCM
http://www.raiamwema.co.tz/08/05/14/1.php
 
It is ONLY challenge that will make us better!

You are on a mission to make CHADEMA even a better political party kwa kufanya jitihada za kui-challenge, ....just so you know.



KadaMpinzani said:
__________________
MBOWE IWEJE UANZISHE CHAMA KIPYA KWA KUTUMIA FALSAFA YA MUASISI WA CCM ? AU UNADHANI WATU HAWAJUI?SASA SUBIRI.

I do not fully understand where you are coming from, but I will figure that out, maana post zako zimo humu kwenye forum.

Sio dhambi kuhoji swala lolote linalomhusu any public figure, ila sasa,

KadaMpinzani said:
mada hii nimeleta mimi, na mimi sio ccm ! ukitaka kujua imewagusa wenyewe ona mods walivyoanza kucharuka na kuirusha huku !
Sitakuwa rafiki na mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo.
You don't have to be on my side or anybody's for that matter. But please, don't wear masks!
 
Napata shida kidogo,
Kwa sasa Tanzanians are discussing people instead of events. that is why we have put aside and forget issues such as BOT scandal, Richmonduli, Mnyantuzu(Vijisenti), and many other dirty things.

Huyo Mbowe apewe nafasi, kama ana mazuri poa na kama **** madudu mizani ile ile tunayowapimia wenzake tutaitumia
Tunawajua, hivyo wasitupeleke pembeni tukaacha yale ya msingi
 
na kama ulivyosema kufeli sio kitu kipya hapa duniani, so mi naona hata kwa mbowe si kitu kipya. Na tukisema tuanze kuchunguzana waliopasi ndo watuongoze nadhani watabaki wachache sana, coz hata hao kina makamba wanaowabuluza watanzania kwa uongozi mbovu elimu zao ni vichekesho kama si uharo...so think twice

Babu nafikiri umesahau usemi kwamba kipodu hawezi kumuongoza kipofu mwenzie, kama mtu anfeli chuo (discontinue) huyu mtu ni weak kabisa!!!! umekosa A fine B+, B, an hata C to me is not sounding. chuo sio kama secondary au primary na vyuo vya wenzetu sio kama vyetu kama UDSM where education is taken as the privilege.

Kama kashindwa shule hatoweza kuongoza watanzania ambao wengi sasa wanajua what to do. huu ni wakati muafaka wa kuwafichua hata hao wengine wanaoongoza bila sifa ikiwapo elimu.

Ndio maana hatuendelei bali tunaendeleza ukabiri, chuki, udini, undugu, majungu, uchawi nakazalika na ni kwa sababu hatujui kazi zetu ni nini.

Hii sio nchi ile ya miaka hiyo we now have people who are well educated having vision and know how to face challenges.

Just mawazo yangu...
 
Jamani tuwekeeni data alifeli vipi, maana najua bado anasoma je alikuwa anasoma nini kilicho mshinda mpaka mkaamua kuwa amefeli.

Kada usiwe unapotea namna hiyo maana tunahitaji mchango wako hapa.
 
Back
Top Bottom