Christopher Ole Sendeka ateuliwa kuwa Msemaji Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM

Christopher Ole Sendeka ateuliwa kuwa Msemaji Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM

Hiyo kazi haihitaji Elimu ya juu. Kusoma na Kuandika kunatosha. Sifa uwe kada kindakindaki na kupiga propaganda
 
A
La saba but more experience anayo klko ww unae uliza! Nice mzee wangu kwa kuteuliwa.
Acha uongo kama hujui kitu si ukae kimya?Sendeka ana elimu ya chuo kikuu,tena pale UDSM
 
Hivi hiki cheo CCM Qualification mhimu lazima uwe umefeli Either O - Level or A-Level?

Sendeka ana ZERO(FORM six) Nape ana Div FOUR ya 29 (Form Four)
Kuweka records sawa..Nape ana Shahada mbili..Ya kwanza aliipata Bangalore university India na ya Pili ya Uzamili aliipata Mzumbe University...

Mbowe elimu yake ikoje?, mbona pamoja na elimu duni aliyonayo ni kiongozi mzuri wa upinzani kuwahi kutokea Tanzania??....

Kubenea...Lema..Sugu n.k mbona elimu zao ni za sekondari na bado ni viongozi wazuri na wawakilishi wazuri wa wananchi waliowachagua?...
 
Mnapenda Sana kuhoji elimu, inawahusu nn? Wenye elimu ndo wameharibu nchi hii hasa hizi elimu zenu za kimagharibi, tunachotaka ni uwezo wa kuongoza hizi elimu zenu za kuunga Unga msitusumbue, sendeka anaweza Sana.

Mkuu kwani ww ni boko haram?
 
Mwenye picha ya mkewe ama hata ya mtoto wa kusingiziwa naomba manake sjawahi ona masai wa namna hii. Anyway maccm wote waliofeli uchaguzi watapata nafasi
 
Hiyo kazi haihitaji Elimu ya juu. Kusoma na Kuandika kunatosha. Sifa uwe kada kindakindaki na kupiga propaganda
sawa sawa,oke oke,plz hold on!kabla Ukawa hawaja pata hoja na kick mtaani,ebu niambie kada mwenzio wa chama cha mapinduzi ili niweze kujipanga na mashumbulizi yao,pamoja na counter attacks za kuwarushia!swali:HIVI KATIBU WETU HIYO WANAYOSEMA ALIIPATA,NI KWELI IPO?
 
bora wamfute machozi maana daaa, alikuwa anaelekea kuburuza mguu, na mkono kama ngedere wa kichina
 
Back
Top Bottom