CHRISTOPHER MWAKASEGE Washington DC

CHRISTOPHER MWAKASEGE Washington DC

Mawazo ni uhuru wa mtu yeyote,ila vyanzo vyake utofautiana, na hapo ndio utakuta kuna mawazo ya shetani kwa watu wake na mawazo ya Mungu kwa watu wake, mwisho ya yote ni matokeo yataonyesha wewe ni wa nani? Mungu bariki watumishi wako wote.

Umeongea jambo jema sana
 
www.lukemusicfactory.blogspot.com/2012/11/mwalimu-mwakasege-awasili-washington-dc.html?m=1
 
Mungu Mbariki sana Mwalimu wangu Christopher Mwakasege...
 
huyu kidogggooooo anaeleeka sio kama wale matapeli wengine,wanaodai pesa sio kitu kingine
 
Matendo ya Mwal Mwakasege yanajionyesha. Ebu tizama hilo tangazo, hajakuomba sadaka wala kutoa account umrushie pesa. Tena cha zaidi, amekuandalia mayaya na msosi hili usipate sababuza kutokuhudhuria hiyo semina.
 
Back
Top Bottom