CHRISTOPHER MWAKASEGE Washington DC

He is an economist, maisha yake hayategemei safaka ndo maana humsikii anamfagilia muumini mwenye hela kama kina mama rwakatare. Ana ofisi (tasoet) na ameajiri watu na kuongeza ajira. Sasa kama ana opportunity ya kufanya biashara na wati wote wakanufaika, ama unataka aombe Mungu inyeshe mvua ya hela? At least sio omba omba wa sadaka.
 

yesu mwenyewe aliwakumbusha watu ya kaisari mpeni kaisari.. Wewe kasikilize neno usiwakatishe wenzie uhondo

kwani ni haramu kufanya biashara?????
 

Yaani nimekupenda bure kwa maneno yako mujurubi aksante sana kusema kilichokuwa moyoni mwangu, kwa kuongezea tuu huyu baba angekuwa na tamaa ya sadaka angeanzisha kanisa lake na watu wengi walimshawishi aanzishe kanisa lake kama wengine ila alikataa kwa kuwa si wito wake, yeye ni mwalimu. UBARIKIWE!
 
Yohana 4 23 Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.
24 Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
ABEDNEGO ni mfuasi wa Mama Lwakatare



Mwache ahangaike maana hajui alifanyalo
 
Mambo ya Mungu yanafaida na kuwahusu wale waaminio na kuelewa, kwa mtu asiyeamini halazimishwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…