Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,397
- 3,492
Ukiacha wale wenzetu wanaosafiri kwenda kuhesabiwa huko kwao Kaskazini, hapa mjini pamepooza sana, hakuna shamrashamra za kuelekea kwenye sikukuu ya Chistmas kama tulivyozoea miaka ya nyuma, yaani huwezi amini imebaki siku moja ifikie sikukuu lakini mjini kumepooza sijui hata kama tutapata mialiko kama zamani. Jamani chanzo nini?