Christmas ya mwaka huu imepooza

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,491
Ukiacha wale wenzetu wanaosafiri kwenda kuhesabiwa huko kwao Kaskazini, hapa mjini pamepooza sana, hakuna shamrashamra za kuelekea kwenye sikukuu ya Chistmas kama tulivyozoea miaka ya nyuma, yaani huwezi amini imebaki siku moja ifikie sikukuu lakini mjini kumepooza sijui hata kama tutapata mialiko kama zamani. Jamani chanzo nini?
 
mjini wapi mkuu......sisi mjini kwetu mbona full shangwe.....jam vibaya mno.....na kuna club inazinduliwa leo....full bata.....
 
Ukiacha wale wenzetu wanaosafiri kwenda kuhesabiwa huko kwao Kaskazini, hapa mjini pamepooza sana, hakuna shamrashamra za kuelekea kwenye sikukuu ya Chistmas kama tulivyozoea miaka ya nyuma, yaani huwezi amini imebaki siku moja ifikie sikukuu lakini mjini kumepooza sijui hata kama tutapata mialiko kama zamani. Jamani chanzo nini?
Usijali baba ya 2019 itabamba watakua wanajiandaa kuomba kura. Sasa hivi kazi tuu hamna tezi dume wala zika.
 
Ukiacha wale wenzetu wanaosafiri kwenda kuhesabiwa huko kwao Kaskazini, hapa mjini pamepooza sana, hakuna shamrashamra za kuelekea kwenye sikukuu ya Chistmas kama tulivyozoea miaka ya nyuma, yaani huwezi amini imebaki siku moja ifikie sikukuu lakini mjini kumepooza sijui hata kama tutapata mialiko kama zamani. Jamani chanzo nini?
Karibuu Marangu upate kitu rohoo inataka bure kabisa ni mguu wako tu mdau sie sio wachoyo na hainaga kadi watu huku tushachoka kutafuna nyama kwa misherehe ya ubarikio, kuhamia nyumba , kurudisha harusi nyumbani, sijui kutambulisha wapendwa na hapo bado haijafika Xmas wallah Moshi raha asikuambie mtu .
 
Marangu mtoni?
 
aika sana mleu.....iweyi ngichaa.......ngakunda.......
Lyoose luwerhelyia ikapa madewe nyumba kwa nyumba, na kungoa yale migomba iliyopambwa kichumini siku ya ubarikio inasubiria tarehe 31usiku hahaa watoto wa siku hizi over kuku wa kizungu zamani ilikuwa raha sana
 
Back
Top Bottom