Mliopanga kusherehekea Christmas Bethlehem, Serikali ya Israel imefuta Sherehe hizo mwaka huu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,038
Najua kuna Watanzania wengi walijipanga kwenda Mjini mwake Daudi Bethlehem kusherehekea sikukuu ya Christmas.

Niwajulishe tu Serikali ya Israel imesema hakutakuwa na Sherehe hizo mwaka huu, yaani zimefutwa.

Chanzo cha Habari ni Al jazeera tv.

Labda mababa Askofu Gamanywa na Ngonyani Mnaweza kutufafanulia kama ni halali kufuta Sherehe za Mazazi ya mwokozi wetu Yesu Kristo?

Ahsanteni sana. 😄
 
Ahsanteni sana.
Usijali bwashee, mtafute Yustino Ndugai,
Atakupeleka kule alipokutana na Yesu na mkewe,
Najua namba yake utakuwa nayo bila shaka,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Najua kuna Watanzania wengi walijipanga kwenda Mjini mwake Daudi Bethlehem kusherehekea sikukuu ya Christmas.

Niwajulishe tu Serikali ya Israel imesema hakutakuwa na Sherehe hizo mwaka huu, yaani zimefutwa.

Chanzo cha Habari ni Al jazeera tv.

Labda mababa Askofu Gamanywa na Ngonyani Mnaweza kutufafanulia kama ni halali kufuta Sherehe za Mazazi ya mwokozi wetu Yesu Kristo?

Ahsanteni sana. 😄
safi sana. ili watu waone umuhimu wa Israel sasa. ajabu yake, tunaambiwa Bethlehem pale alipozaliwa Yesu, ni eneo la wapalestina. hivi inakuja kichwani kweli?
 
Israel ina umuhimu gani kwako we unayeishi Katavi ndani ndani?

Acha utumwa wa kifikra we popoma
Israel kuna Mji wa Jerusalem, mji wa Nazareth, Mji wa Hebron, mji wa Bethelehem na mingine mingi ambayo Yesu aliishi. huwa tunaenda kutalii kuangalia kile kilichojili kwenye Biblia. ni kitu muhimu sana kwetu sisi wakristo. wala sio utumwa wala upopoma. kwako wewe najua ni utumwa kwasababu kama sio mpagani basi utakuwa unaabudu ile dini ya majini.
 
😂😂😂 Hiyo sentence ya Mwisho
 
Mungu wa waisrael wewe mmatumbi wa kipatimu anakuhusu nini...?

Africa kuna binadamu wa ajabu sana, Mungu wa waarabu na Mungu wa waisrael wanatuhusu nini sisi...?
 
Back
Top Bottom