Christmas Mubarak to all Tanzania

Christmas Mubarak to all Tanzania

Shalom shalom

Salam alaikum

Tusikubali udini ukatutafuna.

Padri akibaka tusiseme ukirsto haufai

Sheik akila akiua tusiseme uislam tuukatae

Dini zote ni za Mungu wanaoziharibu ni binadam
Facts
 
Kuna moja hapo ni dini ya mtu sio Mungu. Ila tuacheni udini kwakweli
 
Watu humu wamejaa udini utadhan kuna mtu anajua anapokwenda akifa ya Dunia tuyaache tusiweke uhasama hizi nonsense zinazoendelea humu zinakera kweli kwei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom