Chrispin wa JF...every womans dream hubby!!

Wakati mwingine eti huwa sie wanawake tukisema sitaki basi ujue ndio kinyume chake? hivi ni kweli?mie nipo straight (a spade is a spade not a big spoon)

kama ni ndio ndio, hapana hapana, subiri subiri (unafanyia kazi sorted applications) fulu stop!!!
 
mpwa x-pin mimi siamini kama ni wewe!hasa ninapozikumbuka mbwembwe na majigambo yako pale zero pabu
 
kuna ubaya gani Xpin kufanya hayo? au kule zero huwa anaongea kinyumeeeeeee?????
 
mpwa x-pin mimi siamini kama ni wewe!hasa ninapozikumbuka mbwembwe na majigambo yako pale zero pabu

Bwashee siri za ndani tunazijua wenyewe. Tukiwa baa kina Eliza wanatukoma, tukirudi home tunawakoma kina ZD. ndo mwendo huo! Hahaha! By the way, kesho kokoto itakuwaje? Nina kiu ya miaka miwili.
 
kesho mtakuwa na kaizer!mimi naenda (.............)!si unajua tena?!ilA KAIZER atawatrace kuna mambo inabid yawe finalized kesho kuhusu trip ya mbugani
 
Najua huwezi kuniangusha hata siku moja.Nakuamini kabisaa,na huko zero huwa unaoongea utani tu.na huyu eliza ndo yule muhudumu uliyeniambia?
 
Poa. Nimekupata. Itabidi tutafute average ya birthdates ya tubinti twetu, then tufanye bethdei pati zao kwa pamoja pale zero pub! Kesho tutajeruhiana na mpwa Kaizer then na jumapili bado utakuwa kwenye majumuisho?
 
Najua huwezi kuniangusha hata siku moja.Nakuamini kabisaa,na huko zero huwa unaoongea utani tu.na huyu eliza ndo yule muhudumu uliyeniambia?

Ehee! Kama kawaida huwa hatufichani, manake naona wanoko walishaanza kufikiria leo utanipa kichapo! Anapanda tukutuku sijapata kuona!
 
Tulikubaliana unavyotumia maneno magumu unamkoti mwenye hati miliki ambaye ni bro wangu mpendwa BLURAY

yo' bud needs to appreciate linguistic buffs (kama nime tukana nisameheni blu rei uuu wapi)
 
Back
Top Bottom