Chrispin wa JF...every womans dream hubby!!

kwi kwi kwi! shemeji kweli hujatulia,si nilikuambia lakini naweka apointiment kule gym kwako! najipanga tu kidogo nitakuja.teh teh!

Uende gym kufanya nini! Hivyo ulivyo ndivyo nilivyokupendea. We unafikiria ukiwa kimbaumbau ile stout kwenye milima si itapinduka?
 
Please do consider him. Ni handsome hardworking man. Akikupeleka kwenye ile gym yake mwenyewe utapenda!

acha bana!!! jana ulimpigia chapuo goeff leo umehama?

aaah hueleweki na wewe!!!
 
Wasicha wa JF wanabana? mh? ina maana mimi ndio last option? ukifeli kote ndio unakuja kwangu..... hata nyamayao alinikacha akaenda kwa kaizer, nikiwa PM hawa reply kabisa.

hahahhaa, mpwa pale ulikosea tu ukaingia kwa mke wa mtu, sasa watoto ndo kama hao sasa....changamka
 
Chrispin nakushukuru naona labda nyota yangu itang'ra nilitaka nimchukue mdogo wake ZD sema anasomea doctorate mtu anamiaka 26 akifika miaka 30 atasomea nini?

Atasomea u-LEGEND! Hahaha! Kunakucha ujue, stuka!
 
Chrispin nakushukuru naona labda nyota yangu itang'ra nilitaka nimchukue mdogo wake ZD sema anasomea doctorate mtu anamiaka 26 akifika miaka 30 atasomea nini?

kumbe unaogopa mambo hayo....disqualified already!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
acha bana!!! jana ulimpigia chapuo goeff leo umehama?

aaah hueleweki na wewe!!!

Hahaha! Ile si ilikuwa thread ya kudanganyana? Hii ni for real! Mwonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio.
 
kumbe unaogopa mambo hayo....disqualified already!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ungekuwa dr. wewe ungeeua ujue? ungeniambia embu nenda nyumbani kapunzike una ukimwi au hujijui?
 
hahahhaa, mpwa pale ulikosea tu ukaingia kwa mke wa mtu, sasa watoto ndo kama hao sasa....changamka

ulitakiwa kuwa proactive kaizer, unamshauri saaa hii na amechelewaje?
 
Ungekuwa dr. wewe ungeeua ujue? ungeniambia embu nenda nyumbani kapunzike una ukimwi au hujijui?

Wakati mwingine eti huwa sie wanawake tukisema sitaki basi ujue ndio kinyume chake? hivi ni kweli?mie nipo straight (a spade is a spade not a big spoon)
 
Wakati mwingine eti huwa sie wanawake tukisema sitaki basi ujue ndio kinyume chake? hivi ni kweli?mie nipo straight (a spade is a spade not a big spoon)

You Can Say It Again! Just like you did when I approached you!
 
ruksa kupewa libwata na kama limbwata lenyewe la kheri
lakini huwa lina expire hilo
ZD you better check 4 ze expire date

FL hili la ZD sidhani lina best before......., ni juhudi ya kurinuu skills sasa unapoona mapenzi yanapungua nguvu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom