Chrispin wa JF...every womans dream hubby!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chrispin wa JF...every womans dream hubby!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NGULI, Nov 20, 2009.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  every woman's dream hubby!!!!!!!!!!!!!!

  HONGERA ZIONDAUGHTER MUME UMEMPATA

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. GP

  GP JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  aaahahaaaaa, mpwa wewe una hatari!!.
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Hivi leo ni Ijumaa eeh?
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kama anabisha aje hapa abishe ila ZD noma ndio limbwata nini?
   
 5. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  heee! Jamani shemeji vipi tena?? Unataka kuwaambia nini wana JF? jinsi Xpin anavyonisaidia majukumu ya ndani? au
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  Ndio! najua kuna watakao kuonea wivu waseme umempa limbwata
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha! Hehehehe! LOL! Mpwa leo umanipatia kweli. Manake hako kabinti hapo kwa mgongo leo ni Happy BIRTHDAY yake ya kuzaliwa! Hahaha! You have made my day mkuu! Hahaha! LOL. Nimecheka mpaka basi! Happy Birthday my kabinti MATESHA. You are my everything. Am proud of you! Nimekugongea senksi mpwa nguli. LOL!
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Leo ijumaa mpwa. Na ni bethdei ya kabinti ketu. Karibu kokoto Zero PUB! Hii ntaiprint nikakaonyeshe kabinti. LOL! Hahaha!
   
 9. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  Nashangaa ZD hata senks hagongi, mtoto wenu ana afya nzuri sana, hongera na jiko mmelikarabati limekuwa la kisasa nashangaa watu hawataki kuingia kwenye ndoa kuna drama sana.
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Nov 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Limbwata ananipa nalinywa mwenyewe kwa raha zangu!
   
 11. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  Nitapataje mwanamke wakunifanya hivyo na mimi? nitafurahi sana.
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Kuna kale kalokole ka Fidel ambako mama yake anakazania mpwa akaoe. Mpwa yuko bize anajieksipresi, kawahi manake mpwa ni kama hana time nako. Si unajua kana characters zote za ZD?
   
 13. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  NIshakugongea shemu,ila tu leo umeniacha hoi! my hanei ananipenda mpaka basi.Hapo ile picha yangu nimekaa kwenye sofa miguu juu hujaiweka.
  Muige mfano wake basi,wasaidieni wapenzi wenu!
   
 14. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mpenzi wangu inakuwaje kuhusu our daughter matesha? ile zawadi kama haimtoshi vile?
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Nov 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Usijali nikitoka kibaruani ntapitia pale Mlimani site nimtafutie kabaisko. Amezoea kuzengea za wenzake. Nadhani litakuwa bonge la sapraiz
   
 16. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #16
  Nov 20, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 17. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #17
  Nov 20, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Sijui niweke picha yangu hapa ili nipate mke humu JF nitafurahi, nitafanya kima wewe krispini
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Nov 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Weka ile niliyokupiga wakati unasubiria lift ya tukutuku lenye breki za mbele.
   
 19. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #19
  Nov 20, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Halafu umependeza Xpin na hiyo tai,kweli najua kuchagua ,you are very smart and handsome!
   
 20. bht

  bht JF-Expert Member

  #20
  Nov 20, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  umenifurahisha sana Xpini, nguli thought u would deny this....kwa nini? uko juu ile mbaya, mwanaume wa aina yake.

  ZD umefanya kazi nzuri jamaa mpaka anakubali kulinywa limbwata mwenyewe!! nahisi hata ukisahau kumchanganyia huwa anakumbuka!!!
   
Loading...