Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
Ha ha ha sio Mbutananga kweli?
daaah!! we jamaa kumbe unabebwa bebwa na dada ako huko ulipo?. Mnaishi na shemeji yako pamoja na sister wako?
tuacheni utani rais wetu anapoongea anaonekana mwepesi sana
sijui huwa akiongea anamwiga Nyerere!Maana Nyerere alikuwa akiongea anacheka lakini anaongea points,sasa huyu anacheka tu halafu hamna point kama anapiga soga vileukisema sana utaambiwa cdm!
Naona nyani anatafutia watu ban hahhhhahhhhhhahhh
Nini tena Dina?
Hamnaa kitu kwan umeonaje naogopa kusema ntachafua hali ya hewaa hapaa
Kumbe lisemwalo lipo naona unakiri kidogokidogo ukifika na pale kwenye vvu useme ukweli piaMkuu na hapo nilipigwa majungu vibaya sana.
Nakumbuka kuna bosi wangu mmoja alikuwa anaitwa TWAHA wakati huo mkuu wa kituo nusu anitoe roho kwa sababu ya baiskeli tu..
I wish nitakutana nae siku moja mitaani nimkumbushe..
Mkuu za wabongo zipo, ila zipo kifesibuku zaidi..
Ni wapumbavu tu wanaoweza kucheka watu wenye ukimwi dunia ya leo.
Lakini sishangai kwa sababu wapumbavu nao ni sehemu ya idadi ya watu waliopo duniani...