Chris Lukosi akitema yai.....

Chris Lukosi akitema yai.....

Ni wapumbavu tu wanaoweza kucheka watu wenye ukimwi dunia ya leo.

Lakini sishangai kwa sababu wapumbavu nao ni sehemu ya idadi ya watu waliopo duniani...
Kweli mkuu karibu familia nyingi either zina mgonjwa au zimepoteza mtu kwa HIV. Hili si suala la kumcheka mtu au kumfanyia mizaha bora wangeendelea na mizaha ya kisiasa lkn si magonjwa kwani hakuna anaeomba ugonjwa tena cha kushangaza huenda wanaofanya mizaha hii ni wagonjwa au wana watu wenye vvu wa karibu nao. Huwa sipendi kabisa kumdhihaki mtu kwa magonjwa kwani si kitu chema magonjwa mengi huwapata watu out of there will
 
Lukosi hadi amekuwa celebrity humu JF..ukishuka bongo utoe taarifa humu, uone halaiki ya wanajamvi watavyoangaika na kukanyagana kuisaka autography yako pale JKIA.

Sidhabi kama kuna kiingereza nataka kusikia toka kwako zaidi ya kile nilichosikia. Ilikuwa nzuuri tu mbona! The confidence, body language, physical appearance. Uliua zaidi pale uliposimama na kufanya yako. What else?
 
Haviepukiki kama wewe ni rijali

Utajuaje kama mwenzako ni mzima? au utakuwa unatembea na maabara kila uendako?
Basi bwana nimenyoosha mikono naona leo umekuwa mpole sana .ila pole kama kweli unao mboga mboga kwa wingi mdogo mdogo utavuta siku
 
ahahahha huyu jamaa recently amekuwa kimya sana nadhani lile swala la rambiframbi lilimpoteza.
maskini "huyu wa sasa" hata hajui mambo ya diaspora amewatelekeza na hata hataki kuwasikia wala kuja kuwatembelea.
 
Back
Top Bottom