Chris Lukosi akitema yai.....

Chris Lukosi akitema yai.....

Kaka achana na uraia wa nchi mbili, njoo tulime matikiti pale Iringa kwenye bonde la mto kalenga, soko liko la kumwaga.
 
Angalia kuanzia dakika ya nane. Wabeba maboksi oyeeeeeee:usa2:

Halafu kumbe jamaa ni British-Tanzanian......teh teh teh

But why is he a foreigner in his own country? Au keshachukua uraia wa UK?

Duh!
Hadi BUNGE LA KATIBA lina wasio wa Tanzania,kweli kwa mwenendo huu Katiba ya Wananchi ni ngumu kupatikana.Msikilize JK dakika ya 16.20 kuendelea
 
Last edited by a moderator:
Yaani nimechoka kinoma mkuu,

Nisaidie basi walau niweze kurudi huko kuendeleza libeneke..

Urudi huku unajua mi nipo wapi? Yaani hustahili hata kuendelea kuishi kama hadi kazi ya Utumwa(Upolisi) imekushinda wakakufukuza lol!! Beba box uendelee kuishi kijana
 
Angalia kuanzia dakika ya nane. Wabeba maboksi oyeeeeeee:usa2:

Halafu kumbe jamaa ni British-Tanzanian......teh teh teh

But why is he a foreigner in his own country? Au keshachukua uraia wa UK?

sijui ni lini rais wetu ataongea kama mkuu wa nchi na si kijana tu wa mtaa

72% ya diasporiam hawatumii majina yao kamili sijui kwa nini hawalisemi hili. for sure manyanyaso ya wazungu yamewafanya ndugu zetu hawa kuchakachua ukaaji wao huko majuu kiasi hata majuu wenyewe hawaelewi kama kuna watanzania wengi kiasi hicho huklo kwao. diasporiam have a good job to do on this. watashangaaa wakipitisha uraia wa nchi mbili yatazuka machafuko huko kwao kiasi watoto washindwe kuelewa wazazi wao asili yao ni nchi gani?. embu tuongee siri zetu kwa uwazi, watanzania wengi wanaoishi hasa UK wanajulikana kama raia kutoka kwenye nchi zilizo kumbwa na machafuko hasa rwanda na burundi. jamani mwenye meno aje akanushe hili.

in that case nawaza kwamba bado pana mjadala mkali sana hasa Briitish high commission kwenye kukubaliana na uchakachuaji wa uraia wa mtu wa awali. na navyojua mimi wazazi wanaoishi kinyemela na wamepata familia wajue wana kazi ya kufanya leo kuhakikisha wanadefend origin za watoto wao if they real think harder on this. na kama itashindikana itabidi watoto wao walazimike kuomba uraia wa Tanzania kama wazungu wanavyoomba uraia hapa kitu ambacho kinaumiza sana sana. sidhani kama serikali ina kigugumizi na mtu kuwa raia wa nchi mbili hata tatu nadhani hili liko wazi. shida ni huo mchakato wenyewe unaojumuisha uchakachuaji mkubwa sana kuanzia Jina hadi Country of Origin. mie Diasporiam nawashangaaa sana hawapendi sana kuongelea kitu hii kabisaa. wanaona kama kujidhalilisha vile. no no no we must talk now, if not now when, and if not you who?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ngoma mbona ninayo kubwa tuuu?

kwangu ukimwi ni kama mafua tu..

Mkuu Chris Lukosi kwa hili jibu ninakusifu sana. Ni waulize tu wale wanaopiga madongo watu wanaishi na VVU wao au ndugu zao hata wazazi na mababu na bibi zao wamepona? Kwa taarifa tu mtu anaishi na VVU for years na maisha anaweka sawa kabisa. Sasa wanaosema habari za VVU ngoja saratani iwapate tu halafu nione kama hata miaka mitatu wataishi. Watanzania tubadilike, tena tuwe na mawazo chanya. My aunt is living with VVU for the past 24 years, we love and support her from all angles of her life!!!! Chris utashangaa utaendesha biashara, you will reap billions if not trillions na wenye midomo yao watakuwa wanaipepesa mchana kutwa na watavuna watakachopanda. Keep it up!!! Maisha ni popote tu. Wala masuala ya Dual Citizenship yasiwanyime usingizi. Ningepata tu nafasi ya kuja huko miaka hiyo huku nisingerudi tena kamwe.
 
Ni wapumbavu tu wanaoweza kucheka watu wenye ukimwi dunia ya leo.

Lakini sishangai kwa sababu wapumbavu nao ni sehemu ya idadi ya watu waliopo duniani...
 
Wivu mwingine wa kike sana. Inashangaza sasa wanaume wa tanzania wamekuwa wambea na tabia zote za kike. Mtu anatafuta maisha anahitaji support na kumtia moyo. Nyinyi mbona kazi zenu hamsemi? Au mlitaka akae ndani acheze kidali poo na mamazenu.
mkuu shida yangu ni kuujua wivu wa kike ukoje na wa kiume ukoje. nisaidie tafadhali.
 
Ni wapumbavu tu wanaoweza kucheka watu wenye ukimwi dunia ya leo.

Lakini sishangai kwa sababu wapumbavu nao ni sehemu ya idadi ya watu waliopo duniani...

Sure. Na wote walionena negative hapa na waone aibu kubwa sana. Tena nawashauri wa delete hizo posts tu. Mkuki kwa nguruwe mtamu......, Nyani haoni kundule........,.
 
Nimeiangalia hiyo video clip. Huyo dada amekaa katikati ya rais na first lady anamwangalia sana rais anapoongea huku akionesha tabasamu la bashasha kubwa ni nani?
 
Back
Top Bottom