Chozi la Kabwe kwa Makonda limekoma

Kabla ya kuja na porojo jibu hoja sheria za kazi zinasemaje kwenye kusimamishwa na kufukuza chombo kipi hapa nchoni kinakudhibitisha wewe ni mwizi au fisadi?
 
Mikataba aliyoisema Makonda inanitosha kwa sasa. Hayo mengine endelea nayo wewe au nitaifahamu nikiihitaji.
Ndio maana nikakwambia mahakama ndio ingeweza kumtia hatiani kwani kuna chuki kuna fake na mambo mengi
 
Kwa hiyo siku hizi wezi wasisemwe kisa watapata msongo wa mawazo?, brother rudi kajipange tena aiseee
 
Ndio maana nikakwambia mahakama ndio ingeweza kumtia hatiani kwani kuna chuki kuna fake na mambo mengi
Bora Magu alifanya fasta, hizo mahakama mizinguo tu wakati mwingine na muda mrefu ungepotea.
 
Kwa kufuata sheria ipi ya kazi mkuu au wametengeneza ya kwao pale lumumba ndio wanatumia
Ule msemo wa sheria ni msumeno unakata mbele na nyuma ni kwa baadhi ya watu tu, wengine wote ni kufuatana na siku hiyo pamekucha vipi.
 
Si Kweli Mkuu, CCM Waliaminisha Na CHADEMA Pia Waliaminisha Ufisadi Wa Lowassa.

Hukumbuki Dkt Slaa Alizunguka Tz Nzima Kuhamasisha Hilo?

Hukumbuki Mkutano W Mwembe Yanga?.

Tusidanganyane Jaman, Siasa Zina Mengi Sana, Watu Wanachafuliwa Na Kutakaswa.
 
nasikia apo ndani kwenu bado mnasigana kuna wengine wanapendekeza muichukue familia ya marehemu na wengine wote waliotumbuliwa mzunguke nao majukwaani kuomba kura kwa wananchi ila wengine wanapinga hilo na wameenda mbali zaidi kwa kuwatahadharisha kuwa kwa kufanya hivyo mtawaweka uchi wabunge wenu kama wenje na sugu
 
baada ya ile report ya mwakembe ambayo ndio iliaminisha Watanzania
 
Ndio ndoto za Matopeni hizo?
 
Kweli mwanahabr huru unaropoka ropoka tu, kamuulize wenje ufisadi wa kabwe atakwambia, halaf we ni nani uwasemee walotumbuliwa? Si waende mahakamani?
Point ni kua chadema walimfukuza kama alivyofanyiwa pale darajani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…