Chozi la Kabwe kwa Makonda limekoma

Chozi la Kabwe kwa Makonda limekoma

Mbona Lowasa ni fisadi toka enzi za Nyerere lakini aliaminiwa na Mkapa na Kikwete akapewa mpaka uwaziri mkuu? Teuzi nyingi zinaangalia urafiki..sio maadili
Hata Mimi nikipata nafasi nitakula. Nani anataka kuishi kimaskini wakati hamuibii mtu mfukoni? Nafasi haiji Mara mbili.
 
1.Barua alipewa ya kuachishwa ukurugenzi ?
2.Tume ya kuchunguza huo ufisadi imeshaundwa ?

Hayo mambo yapo kwenye maandishi lakini tumekuwa tukiaminisha kwa midomo tu .
Mkuu haya maneno yako umeanza lini kuyasema? Baada ya uchaguzi au kabla
 
Mkuu si suala la kutumbuliwa, bali ni suala la maadili na weledi ukiondoa unafiki na kujiona wewe ndio mfanyakazi hodari mbele ya mkuu wako.
Matokeo ya awali ya tume iliyochunguza mikataba yote iliyosemwa mbele ya Rais aliekosea na ku sign ni Wilson Mukama......kama kushitakiwa angeshitakiwa huyo! Aliongeza mkataba kwa miaka 12 zaidi....huyu amefanya mchakato upya na kila kitu kiko sawa PPRA na tender imetangazwa! Ni aibu sana kwa majibu hayo mbele JPM na kibaraka wake Makondo!
 
Majiji yote aliyoongoza yaliangukia chadema yakiwa mikononi mwake hii ni wazi hakuwa kiongozi mwenye kutetea maslahi ya wananchi wanyonge.
 
Back
Top Bottom