Chozi la Kabwe kwa Makonda limekoma

Chozi la Kabwe kwa Makonda limekoma

Zijibu kama ni dhaifu usizunguke mbuyu
Nizijibu kwani mi ndio nimezileta. Kwanza kabisa point ya kuwa kachaguliwa na maraisi wawili ni dhaifu kwani wapo watu wabovu wengi waliokuwa wanachaguliwa kwenye awamu mbali mbali, na hilo la kusema Makonda muongo hamna kitu kwani yeye kasoma mikata iliyopo. Kama kuna wa kumtetea alete mikataba mingine. Zaidi ya hapo ni porojo tu
 
Sheria ya ajira ilifuatwa kwenye kumsimamisha?
 
Basi usitoe majibu mepesi kwenye hoja nzito kama hiyohapo
Sioni hoja nzito hapo, pole kama umeguswa moja kwa moja na yaliyomkuta. Ikitolewa mikataba mingine nitaweza kuwaza upya, ila kwa sasa naona kilichomkuta ni ajali kazini.
 
Sioni hoja nzito hapo, pole kama umeguswa moja kwa moja na yaliyomkuta. Ikitolewa mikataba mingine nitaweza kuwaza upya, ila kwa sasa naona kilichomkuta ni ajali kazini.
Huwezi kuona hoja maana mizuka ni mingi kuluko mfano sheria za kazi zifuatwe ukurupukaji na mizuka ni hatari
 
Sawa mkuu, ila ingekuwa rahisi kutengua hiyo hoja ya mikataba tu kuliko kuweka porojo.
 
Mi sio mwajiri bwana wa kujibu sheria ya kazi. Ninachojua makanjanja yamefanyika chini ya uongozi wake na hakuna taarifa mbadala na hiyo inatosha kuona aliongoza vipi.
Mimi sina shida kama ana kosa kuadhibiwa ninachotaka hapa je hizo adhabu zinafuata utaratibu wa sheria za ajira au nimizuka?
 
Mimi sina shida kama ana kosa kuadhibiwa ninachotaka hapa je hizo adhabu zinafuata utaratibu wa sheria za ajira au nimizuka?
Mi sitaki kujua hilo, kama mtu ana makosa na kuna vithibiti ni bora akae kando mapema ili kuzuia uozo.
 
Mi sitaki kujua hilo, kama mtu ana makosa na kuna vithibiti ni bora akae kando mapema ili kuzuia uozo.
Mahakama ndio chombo chakudhibitisha kua wewe ni mwizi au laa hakuna mamlaka nyingine pitia sheria za nchi
 
Hizi siasa zingine za kipuuzi sasa, hivi Makonda amekosea wapi?

Mwanahabarihuru unngekuja hapa kupangua tuhuma zilizomng'oa na sio kuleta blah blah. Mtu mzima unapaswa kujiheshimu na uweke akiba ya maneno. Kuchaguliwa na marais wawili sio kigezo cha uadilifu. Labda una yako.

Kwa taarifa yako, kama kuna mtu nilikuwa simpendi basi ni Paul Makonda, lakini kama mtu anapiga bize kuna nini cha kunikataza kumwangushia mahaba? Muacheni Makonda asafishe jiji, huo sio upinzani, ni upuuzi. Eti mtu alambe 8000 aandike 4000 halafu wewe uje na ngonjera hapa
 
Mahakama ndio chombo chakudhibitisha kua wewe ni mwizi au laa hakuna mamlaka nyingine pitia sheria za nchi
Mikataba aliyoisema Makonda inanitosha kwa sasa. Hayo mengine endelea nayo wewe au nitaifahamu nikiihitaji.
 
Back
Top Bottom