Hili la kabwe kuwa fisadi mkubwa si lakubishania. Nenda mwanza uambiwe nini ufisadi was Kabwe. Luchelele jirani kabisa na Saint Augustine University alifanya mini juu ya viwanja vile, uwekezaji mkubwa alioufanya Luchelele mabiluoni hayo aliyatoa wapi? Zawadi aloitoa kwa kiongozi mmoja mkubwa wa Taifa hili, zawadi ilutoka pembezoni mwa ziwa Victoria watu wa mwanza wanajua, aliitoa wapi pesa hiyo? So hapo tu, iliyokua clinic ya makongoro iliyokua ikitoa Huduma kwa akina mama na watoto takribani mwanza yote, iko wapi sasa kama so jitihada za kabwe, tusiwe wanafiki, tuongee ukweli.