Chozi la Kabwe kwa Makonda limekoma

Chozi la Kabwe kwa Makonda limekoma

Hivi nyie huyo kabwe mlikuwa mnamfaham au mna ropoka tu??
 
Wacha kua kioja baada yakushindwa kujibu hoja rudi nyuma nimeshawajibu vilambalamba wenzako... jibu hoja sheria ya Ajira inasemaje kuhusu utumbuaji wacha kurukaruka kama maharage yaliyokosa moto uliokolea
hahaha! usi panic. sheria ya ajira inasema unasimamisha kazi then uchunguzi unaendelea. ikithibitika umefanya kosa, unachukuliwa hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kufikishwa mahakamani. utumbuaji majipu haufanywi bila kufuata sheria. tatizo lako ukisikia jipu limetumbuliwa unajua kabisa ndio kashafukuzwa kazi moja kwa moja sio.
 
kasome tena sheria ya kazi wewe
 
Ungekua unashirikisha ubongo usingeandika hivi kamulize mwalimu wako ndio urudi hapa

Ahsante mkuu, sasa wewe unayeshirikisha Ubongo wako nakuuliza Kigamboni ipo Mkoa gani! Dar es Salaam?au Pwani?au Morogoro?
Au eleza Vitongoji vya Dar es Salaam.
 
Kwa maelezo ya Makonda ni dhahiri kuwa Kabwe alistahili kutumbuliwa iwe adharani au gizani kama bunge la 11.

Lakini ninavyojua mimi ufisadi wote uliofanywa awamu ya 3 na ya 4 ulifanywa kwa baraka za CCM kwa ajili ya kupata pesa za kununua wapiga kura na wasanii. Na kununua masanduku feki ya kura.
Kabwe asineweza kuiba mabilioni hayo yote peke yake wakati palikua na mameya wa halmashauri na pia meya wa Jiji ambaye ni kama mwangalizi pia wa fedha za umma.
Mikataba hiyo ilikuwa ni safi kutokana naaelekezo toka ngazi za juu.
Nilipojua kuwa Kabwe alikua ni mpare nikajiuliza tangu lini mpare akawa jasiri wa kuiba pesa za umma.
Wapare ni waoga sana kwenye kufanya ufisadi tofauti na wahaya na wachaga.

Inawezekana kuna ufisadi uliofanyika lakini kwa kushinikizwa na ngazi za juu.
 
Mkuu umeongea sawia ngoja waje watoa povu
 
Asie kujua hakuthamini

R.I.P. Brother Kabwe.

Kazi uliyotumwa umeimaliza.

Wahanga tupo wengi, si wewe peke yako.
Pole mkuu, walimwengu ndivyo walivyo. Mungu ndie anaejua ukweli. Wabaya wakiamua kukutenda watatumia kila walichonacho kufanikisha yao.
 
Inawezekana Wenje alimsingizia Kabwe kuhusu ufisadi jijini Mwanza.?

Kwa hoja hizi Upinzani unaelekea kuwa kama Comedy.
 
Kama anakosa mru yoyote kushugulikiwa ni sawa lakini ufwataji wa sheria ni muhimu
 
Dah!chozi la kabwe,chozi la Lowassa na chozi la Warioba ni machozi mengi .
 
alijiuzulu uwaziri mkuu kwa sababu ya ufisadi wa richmond...huo ni ushahidi tosha
Mwinyi alipojiuzulu kwa ajili ya vifo vya wafungwa ndio ilimaanisha alihusika na vifo hivyo?
Poor idiot
 
Back
Top Bottom