Chozi la Kabwe kwa Makonda limekoma

Chozi la Kabwe kwa Makonda limekoma

Sasa naanza kujua kwa nini , kama chama hamkujiushisha kuhakikisha Wenje anarudi bungeni! Mwanzisha mada hamkuridhishwa na maelezo ya Wenje juu ya Kabwe na ufisadi. Mmenishangaza sana!!!
Je sheria ya kumtumbua mtu hadharani imo kwenye sheria ipi ya kazi weka kifungu hapa
 
Umesahau kuwa tatizo lilikua ni uwaziri mkuu ile report mbona ilisomwa nusu iliachwa kwa maslai ya nani? Je ni wapi ilisema Lowassa kachukua hela? Wacha mizuka
muulize Dr Slaa na Tundu lissu walioandika list of shame watakupa majibu yote unayoyataka.. tusiandikie maji na wino upo. na ukitaka habari zaidi muulize Kubenea akupe magazeti yake ya Mwanahalisi ya miaka hiyo usome makala za ufisadi nchini
 
Mkuu usifukue makaburi, Kabwe kafanya kazi yake amemaliza kazi yake duniani.
Hata hivyo conveniently huongelei sakata lililomtoa kafara mzee huyu.
Ni Ubungo.
Mbona huongele suala la tozo kwa basi moja linalolipiwa shs 8,000 lakini Jiji linalipwa nusu yake yaani shs 4,000, suala lililoibuliwa na Makonda.
Mnaweza kumlaumu Makonda kwa kutokuwa na uzoefu, lakini wizi wa wazi namna hiyo usio na maelezo ,kuuelezea kivingine ni unafiki.
Kwa hili Makonda si mnafiki.
Je sheria iliyomwajibisha mbele ya watu ndio sheria ipi na ipo chini ya kifungu kipi
 
muulize Dr Slaa na Tundu lissu walioandika list of shame watakupa majibu yote unayoyataka.. tusiandikie maji na wino upo
Usiturudishe nyuma nimeshawajibu wamatopeni wenzako waulize watakwambia nawamekimbia thread
 
majibu yalitokaje ?kupitia vyombo vya dola au. acha majibu rahisi rahisi kwa maswala magumu
Wacha kua kioja baada yakushindwa kujibu hoja rudi nyuma nimeshawajibu vilambalamba wenzako... jibu hoja sheria ya Ajira inasemaje kuhusu utumbuaji wacha kurukaruka kama maharage yaliyokosa moto uliokolea
 
Nasikia anayefuatia sasahivi ni mwenyekiti wa kuvuruga uchaguzi chwaka.
 
Hoja dhaifu sana zilizotajwa kwenye huu uzi
 
Kwa staili ya Rais John Magufuli, bila kufanya utafiti alikubaliana na Makonda na kuamua kumsimamisha kazi Kabwe kwa tuhuma za kumdhalilisha, tena mbele ya umma.

Halafu huyu ni mtu mwenye PhD (... degree inayopatikana kwa kufanya utafiti). Alijidhalilisha sana yeye binafsi na pia hiyo taasisi iliyompa PhD.
 
Wadanganye wasiomjua Kabwe. Kaiba Mwanza tena mchana kweupeeeeeee. Mnapoteza muda wenu. Makonda ni genuis. Na Mungu aendelee kuwa nae
 
Back
Top Bottom