Chozi la Kabwe kwa Makonda limekoma

Chozi la Kabwe kwa Makonda limekoma

100% kwa kupewa maagizo na mkulu wake. Kama ni mawazo yangu nitalaumu au kujiuliza tu kuwa, kwa nini Lowasa hakujiuzulu alipoona mashinikizo yanazidi? Yaani naona angekataa na hata na iende mbali zaidi kujiuzulu kwa shinikizo hilo
hakujiuzulu kwa sababu ye ndio alikuwa mpigaji wa hilo dili
 
hakujiuzulu kwa sababu ye ndio alikuwa mpigaji wa hilo dili
Kwa sababu gani unaamua kumwamini mmoja na mwingine unamshikilia kuwa ndiye? Kwa reservation zangu najua wote wawili wanajua ukweli, simtoi yeyote kati yao. Au wewe ndiye mwenzie? maana unakomaa kweli kusema ni EL
 
Hakujiuzulu Kwa sababu ya ufisadi kwani Mzee Mwinyi alivyojiuzulu yeye ndie aliua? Lowassa aliwajibika
 
Back
Top Bottom