Chozi la Kabwe kwa Makonda limekoma

Chozi la Kabwe kwa Makonda limekoma

Hivi huyu Kabwe hilo jiji la Mwanza alikuwa analiongoza peke yake kiasi ambacho kwenye clinic yupo, viwanja yupo, ferry za samaki yupo....

Hakuwa na wasaidizi? Hakuwa na wanasheria? Hakuwa na Baraza la madiwani? Hakukuwa na RC? haukuwa na maafisa ardhi?

Hivi ni kwa nini tusiseme na kukubaliana kuwa matatizo haya ni zaidi ya kumshambulia mtu mmoja
mmoja tu?

Haiwezekani kamwe na milele haya mambo yafanywe na mtu mmoja kama siyo special organized system!!

Kabwe ni muhanga tu.....tusipumbazane hapa. Ni sawa na Richmond vs Lowassa mwaka 2008, huyu mzee alikuwa ni muhanga tu!

The problem is bigger than we think and it goes beyond one person!!
Kula like ya maandishi mkuu.... na ndo maana JPM peke yake hataweza vunja huu mfumo ulio zoeleka na ambao ni rafiki kwa walio mzunguka, anahitaji sauti ya malaika kuweza pata ufunguo wa fumbo hili..... tatizo ni ccm kuliko mtu mmoja
mmoja.....
 
alijiuzulu uwaziri mkuu kwa sababu ya ufisadi wa richmond...huo ni ushahidi tosha
Kujiuzulu ni hulka ya watu makini. Kule Europe watu makini hujiuzulu ili kuondoa figisufigisu
 
Ukishasimamishwa, tena hadharani, eti kupisha uchunguzi, ni umefukuzwa tu, sio mpaka uletewe barua, kuna kiongozi gani wa juu aliwahi kusimamishwa na uchunguzi ukafanyika, kisha akarudishwa madarakani?
 
Ukishasimamishwa, tena hadharani, eti kupisha uchunguzi, ni umefukuzwa tu, sio mpaka uletewe barua, kuna kiongozi gani wa juu aliwahi kusimamishwa na uchunguzi ukafanyika, kisha akarudishwa madarakani?
Sheria za kazi ndio hivyo zinasema tufukuzane au?
 
Makonda hana tatizo
Tatizo ni Magufuli
 
alijiuzulu uwaziri mkuu kwa sababu ya ufisadi wa richmond...huo ni ushahidi tosha
Akili yako na uwezo wako wa kufikiri ndio shida, sio wewe ni Watanzania wengi wa kiwango chako cha ufikiri, hamjui utawala wa sheria. Kujiuzulu ni ufisadi? Ulishawahi kujiuliza kwanini kwanini aliekuwa anaongoza kamati ya bunge kuhusu Richmond kwanini alisema mengine hakuyasema kwa maslahi ya taifa? Kwa akili tu za kawaida huwezi jiuliza kwanini pamoja na Lowasa kwenda upinzani hajawahi kushitakiwa popote kwa ufisadi wake? Au Serikali inamuogopa? Kama ndio kwanini? Kama hapana kwanini? Acha ujinga.
 
Umesahau kuwa tatizo lilikua ni uwaziri mkuu ile report mbona ilisomwa nusu iliachwa kwa maslai ya nani? Je ni wapi ilisema Lowassa kachukua hela? Wacha mizuka
Endelea kusafisha ila ukweli ni kuwa alikimbia aibu ya kufurushwa na wabunge.Ni mdokozi wa mali ya umma.
 
Alifanya mengi sana kwa ajili ya maendeleo ya Mwanza na maeneo mengine alikokuwa akifanya kazi za wananchi kwa niaba ya serikali, hakika serikali imepoteza mtumishi hodari na sisi tutaenzi mchango wake kwa kuendeleza mema aliyofanya Kabwe,” alisema Simbachawene.

Kauli hiyo ya Simbachawene na uteuzi wa kuaminiwa wa Mkapa na Kikwete ni ushahidi mwingine wa kutosha kuwa Kabwe hakuwa “mlaji,”
alijitoa kufanya kazi za umma kwa uaminifu mkubwa na kupata fursa ya kutoa mchango wake katika kuendeleza majiji ya Mwanza, Mbeya na Dar es Salaam.

Makala hii imeandikwa katika Gazeti la Mseto la tarehe 26 Mei mpaka tarehe 1 Juni mwaka huu katika ukurasa wa 5.
Red=Kuendeleza mema tu (siyo yote)
Blue= hiyo haitoshi kuwa ushahidi kuwa hakuwa mlaji.

Ukiingia ktk utumishi wa umma kwa sasa uwe tayari kuwajibika ikiwa ni pamoja na kuridhika na hatua ya kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi, unakuwa umeisaidia serikali, tunasema Tanzania kwanza mtu baadae.
Unapofanya kazi na wanasiasa hasa kazi zenye maslahi makubwa km ukurugenzi there's a price to pay, tuwe wavumilivu jamani pia tufqnyeni kazi za watu tuache umimi.
Sor far hakuna aliye na uhakika iwapo Kabwe alikuwa mlaji au la, ingawa malalamiko yalikuwapo, ndio hivyo amefariki uchunguzi ukiendelea.
Tulisema lazima
viongozi wetu waoneshe wanachukia rushwa mbona wakionesha tunawageuka tena?
 
Asie kujua hakuthamini

R.I.P. Brother Kabwe.

Kazi uliyotumwa umeimaliza.

Wahanga tupo wengi, si wewe peke yako.
Hafai kabisa huko Luchelele, kuacha matatizo kwa jamii. Ni Kosa la kujifunza kuwa na wakurgenzi wageni wasio na utu.
Yeye ni Kumiliki mashamba tu na Beach zetu.
 
Back
Top Bottom