ladies and gentlemen,
iam not famous in such here in jf, naomba nichukue nafasi hii kuwakutanisha wana jf ambao mnahisiana chochote kile hapa jukwaani.. The following is the chart, just choose the number which has a dedication word. For a example, to me i would like to take number 4 to @sweetlicious..
Ok, ok, ok guys!!
Chagua number nzuri kwa rafiki yako!!!
Kazi ni kwako sasa!!
pita na like yako jamani!
No 4 to my @RR
u r welcome
wishes zangu mi naomba namba 5 ziende kwa Lady doctor, miss strong, Madame B, Mamndenyi, na lara 1 .. aisee kama mpo kwa hewa naombeni username zenu kwa skype ama whatsapp!
Ewala mpwa.
İla usisahau, Kizuri mtu hula na nduguye.
Vifaa vinachajiwa hapo. We kama unavihitaji twenzetu PM tuangalie namna ya kukopeshana.
Si ndio kama lile la mwanzo...kama yanatekenya hivi!!!
Hewalaaaa mpwa muda wa maakuli lazima ukaribishwe tumle tetere...
tafanya remix si eti eenh....Basi liko pouwa
Mhhh kasheshe, ndugu wa hv!!!!!!!
Teh teh teh teh.........................nashukuru bhana:smile-big:
Hakika mtoto umeumbika mithili ya malaika japo mbinguni sijafika lakini nauhakika kwa kila mwanaume aliyeumbika na kukamilika akikuona lazima udenda utamtoka, naomba japo yako dakika nipate kukueleza moyoni yaliyonifika kwani siwezi tena kuficha jinsi navyokupenda, nakupenda amini kwako nimefika!