Maajabu ya vyoo vya umma!

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,182
22,698
Salaam, Shalom!!

Nimewahi kuwa kiongozi wa wanafunzi katika shule Moja katika Moja ya mikoa ya nyanda za juu kaskazini,

Mbali na matumizi mabaya ya vyoo vya shule, Kuna jambo Moja ambalo Hadi Leo sijawahi kujua lilitokana na nini,

Yaani unaingia chooni, unakutana na gunzi la muhindi, unajiuliza, hivi aliyekuwa humo kabla, aliwezaje kuisaidia akiwa anakula muhindi Kisha akatupa gunzi ndani ya sink la choo Cha maji!!!

Mara ingine utakuta mawe katika sink la choo, na mawe haya husababisha vyoo kuziba,

Naomba kufahamishwa, ninyi ambao Huwa mnaingia vyoo vya public na kutumia mawe na magunzi ndani ya vyoo, KAZI ya vitu hivyo hatarishi Hasa Huwa ni nini?

Karibuni🙏
 
Kuna jamii haiwezi kushika mavi wakati wa kujitawaza. Haiwezi katu.

Hivyo wanatoka na magunzi nyumbani, wengine mawe, wengine karatasi za daftari.

Kuna jamii nyingine haiwezi kujisaidia kwenye tundu la choo, yaani ni marufuku. Hivyo, wao ni vichakani, juu ya choo, pembeni mwa tundu.

Ukishayajua hayo Wala isikupe tabu, watu hubadilika.
 
so gross! watu weusi suala la usafi ni safari isiyo na mwisho. uchafu mtupu shenzi hao kima weusi.
 
Kuna jamii haiwezi kushika mavi wakati wa kujitawaza. Haiwezi katu.

Hivyo wanatoka na magunzi nyumbani, wengine mawe, wengine karatasi za daftari.

Kuna jamii nyingine haiwezi kujisaidia kwenye tundu la choo, yaani ni marufuku. Hivyo, wao ni vichakani, juu ya choo, pembeni mwa tundu.

Ukishayajua hayo Wala isikupe tabu, watu hubadilika.
Sasa ndugu,

Choo Cha maji, Kweli mtu atumia jiwe, tena jiwe Si dogo,

Kwani tissue Ina kosa Gani?
 
Huyo aliyekuwa anaingia na mawe sasa hv n brother men Kabisa na anakula babes pisi kali anajiita Poor Brain
Hizo TABIA hawaachagi,

Hadi kwenye family, unakuta baba mwenye nyumba haflash choo,

Akitoka chooni, ni KAZI ya mama kwenda kufanya usafi!!

Wazazi, turekebishe watoto Hasa wa kiume!!
 
Back
Top Bottom