MAKANJAMNA
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,138
- 1,515
Unatakiwa utangulize toilet paper inasaidia yale maji hayaruki.. na siku hizi kuna alcohol wipes zinaua bacteria so unasafisha pale kwenye kiti.. mambo muruakuna mazingira huwezi rekebisha kuna vyoo unakata gogo kwa machale huku unaruka pale unafanyaje?