Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,195
TehMhm... Mkuu kwa kauli yko hii.. We unaish wap kwan? Au upo dubai nn
Aah wapi nipo Tandale hapa vipisi bar kwa mama muuza.

. Toa experience kakaTehMhm... Mkuu kwa kauli yko hii.. We unaish wap kwan? Au upo dubai nn

. Toa experience kakaKwa nchi zngne sawa mkuu... Ila kwetu apa nhmmm cjawah onaKi sheria kama maji hayatoki ofisi inatakiwa ifungwe, unapofungua ofisi au sehemu yeyote yenye mkusanyiko wa watu unatakiwa kuwe na huduma ya choo, kama kuna matatizo ya maji kuwe na cha shimo au mobile toilet, kuwe na water fountain, haya ni kwaajili ya wafanya kazi na wananchi watakaopata huduma katika ofisi ile, kuwe na madirisha ya kuingiza mwanga na hewa ya kutosha na kama ni nchi za baridi kuwe na heating system wakati wa kipupwe.
Cjawah ona vyoo vya publk ktk hali nzur n vng vnaongoza kwa kuambukiza uti.... Ata vya maofcn mkuu, ni shiidah!Teh
Aah wapi nipo Tandale hapa vipisi bar kwa mama muuza.. Toa experience kaka
Wenzetu wanavalue ulichonacho saana hasa ukionyesha kujituma na ustadi....Ebwana nchi za watu secretarial ilinisave sana kupata office jobs.
Ila vya public hasa kwenye misongamano mikubwa ndiyo inakuwa hatari zaidi... (shule), kambi za wakimbiziCjawah ona vyoo vya publk ktk hali nzur n vng vnaongoza kwa kuambukiza uti.... Ata vya maofcn mkuu, ni shiidah!
Yah ni kweli lakini matatizo ya office jobs zinakulimit ukiwa mwanafunzi, lakini kuna wakati nilipata sehemu kwenye ofisi wanihitaji saa 16:00 -20:00 ilikwa ni ofisi ya wanasheria, walikuwa na kazi nyingi sana hivyo mdada wa 09:00-17:00 hakuweza kuzifanya zote.Wenzetu wanavalue ulichonacho saana hasa ukionyesha kujituma na ustadi....
juu ya seat nilitoka mbio halafu vyoo vya wazungu hivyo nchi flani.

Ungekausha tu, co poa!Kuna mama mmoja hua akienda chooni huwa akikata gogo ukienda muda huohuo unaweza zimia kwa huo mnuko.
Binafsi mazingira machafu ya vyoo vya jumuiya vichafu vichafu ilikuwa shuleni ila siku hizi ni kwa nadra saaana kuexperience vyoo vya namna hiyo
Hata majumbani,kuna watu wasiostaarabika;unakuta maji yapo;brush lipo ila lazima abakishe mambo yake pembeni sasa sijui nia ni kuweka alama kuwa alikuwepo mahali pale!Kwakweli nikishaona ule uchafu kama ninakufahamu kila nikiongea na wewe ile picha itakua inanijia.
Kipindi nipo Ughaibuni nilipata kibarua cha usafi, sasa kinajumuisha kusafisha choo.. yani vitu nilivyokuwa nakutana navyo.....Nilikutana na hali hio nilikuta damu juu ya seat, tena choo cha wanaume. Nilijiuliza huyu mtu analiwa tigo au kuna mdada alikuja kutumia.![]()
Mara nyengine nilikutajuu ya seat nilitoka mbio halafu vyoo vya wazungu hivyo nchi flani.
Pia kuna siku niliingia chooni nilikuta toilet paper ina alama za vidole vyenye haja kuu. Nchi ya wazungu huko
Ndukiiiii![]()
![]()
![]()
Kwel mkuuIla vya public hasa kwenye misongamano mikubwa ndiyo inakuwa hatari zaidi... (shule), kambi za wakimbizi
HahahahaaaaaaKinachonipa utata mkuu, unaweza kukuta hali si nzuri ukaamua kuacha, mlangoni unakutana na yule mwanaume/mwanamke unaemzimikia ndiyo anataka kuingia, hata ukimwambia ile hali na wewe uliikuta vile sijui kama atakuelewa.
Mimi sihangaikagi hahaaa bampa tu bampa. Kmzigo juu ya mzigo Nikikuta uyoga moja naacha uyoga mbili. Anayetaka kusafisha atasafisha yeye. Au kama vp waache tu mpaka kisinki kijaekabla ya kutoka huwa nahakikisha pako poa kwanza