Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, amemwomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusaidia kujenga bandari kavu Makambako, kutokana na ukweli kwamba eneo hilo na mkoa wa Njombe unapitiwa na reli ya TAZARA na hiyo itasaidia kusukuma ajenda ya miradi mikubwa katika mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini.
Amesema hayo leo Machi 21, 2025, katika kuadhimisha Siku ya Misitu Duniani na Upandaji Miti Kitaifa mkoani Njombe.
Amesema hayo leo Machi 21, 2025, katika kuadhimisha Siku ya Misitu Duniani na Upandaji Miti Kitaifa mkoani Njombe.