bandari kavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bandari kavu zilizopo Kata ya Sandali, Temeke ni kero, malori yanapaki hovyo

    Kata ya Sandali, Temeke kwenye eneo la Wizara ya Mifugo na Kilimo kuna bandari kavu imekuwa kero kubwa sana kwa njia ya kwenda Kanisa la KKKT kupitika sababu malori yamekuwa yanaziba njia na huduma ya usafiri imekuwa changamoto. Yanaharibu barabara yana park mpaka kwenye mitaa imekuwa kero...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Serikali kutaka kuhamisha watu Temeke ili kupisha Bandari Kavu ni ukatili wa kiwango cha juu. Hii Serikali ni ya Kijamaa kweli?

    Wakuu, nchi hii imefika mahali ubepari unazidi kutawala sana. Hivi karibuni tumemsikia Mkuu wa Wilaya ya Temeke akitoa kauli ya dharau kubwa kuwa "bandari haihami, lakini binadamu tunaweza kuhama," akidai kata zipatazo kumi zimeandaliwa kufuata nyayo za Kurasini ili kupisha upanuzi wa bandari...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT: Tunapinga mpango wa DC Temeke kufuta Kata 10 ili kupisha Bandari Kavu, wamenogewa na biashara

    https://www.youtube.com/live/foCqxnCqX8M ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam imepokea kwa mshangao na kupinga vikali kauli za Mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndg. Sixtus Mapunda kuhusu mpango wa kuhamisha wakazi na kuathiri uwepo wa kata zipatazo 10 katika Wilaya ya Temeke kwa madai ya kupisha ujenzi...
  4. Insidious

    JamiiForums Tanzania KERO Utitiri wa ‘Bandari kavu’ kila mtaa Tabata jijini Dar. Nini kinaendelea?

    Hivi inakuaje bandari kavu zinafunguliwa kila mahali? Kwa sasa Tabata nayo imekuwa kama kurasini kila mtaa kuna malori. Viongozi wa mitaa hawapo? Mipango miji hawapo? Tuspoangalia hili litakuwa tatizo hapo! Ninachokiona wanatuzuga na mipango ya kuendeleza makazi Sinza huku wakiongeza hizo...
  5. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kortini wakidaiwa kuiba magari yakipelekwa bandari kavu

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam imewapandisha kizimbani washitakiwa saba, wakidaiwa kuiba magari mawili wakati yakipelekwa Bandari kavu ya Vingunguti. Washitakiwa hao ni Isack Natus, Samson Mwamoto, Daniel Noah, Adam Sufian, Michael Marwa, Fadhil Munisi na Tusho Kalambire...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Dar es Salaam karibu kila sehemu imegeuzwa kuwa bandari kavu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema licha ya Serikali kujenga Bandari ya Kwala bado Jiji la Dar es Salaam sehemu nyingi kumegeuzwa kuwa bandari kavu (ICDs). "Kuna watu wanahujumu uchumi wa nchi. Kwa sababu kwa mfano, Dar es Salaam sasa hivi...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Serikali yaja na mpango wa miaka 10 ujenzi wa bandari kavu mitaani

    Kutokana na ongezeko la mizigo katika bandari ya Dar es Salaam, Serikali imekuja na mpango wa miaka 10 kuanzia Julai 2026 kwa ajili ya kupanua maeneo ya kuhifadhi mizigo kwa ujenzi wa bandari kavu (ICD) mitaani. Hayyo yameelezwa Juni 16, 2026 na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Jomaary Satura...
  8. jT0078

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi aliyeruhusu uwekezaji wa bandari kavu pale Mbagala rangi 3 anajua changamoto inayotokea sasa hivi?

    Tupeni pole sisi wakazi tunaotumia barabara ya Kilwa (Kilwa Road)kupitia Mbagala Rangi 3 - Temeke, Dsm. inawezekana walioamua uwekezaji waliangalia pesa itakayoingia lakini hawakuangalia athari itakayotokea pindi mradi ukianza. Pia soma KERO - Yard ya GSM Mbagala imeongeza tatizo la foleni...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Bandari kavu kwenye makazi ya watu Mtaa wa Magogoni – Kigamboni ni hatari na kero kwa Wananchi

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Magogoni Wilaya ya Kigamboni, mtaa wetu umekuwa na changamoto za kuwa na bandari kavu karibu na makazi ya watu katika njia zinazoingia mtaani kwetu. Mojawapo imekuwa ikileta changamoto malori yanayosubiri kupakia na kushusha kontena yana-park barabarani na kutuachia...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby: Kwanini Bandari Kavu ya Kwala haitumiki au kuna michezo ya rushwa inayoendelea nyuma ya Pazia?

    Akichangia hoja Bungeni Aprili 9, 2026, Mbunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby, ametoa wito kwa Serikali kuitaka ianze kuitumia kikamilifu Bandari Kavu ya Kwala iliyopo mkoani Pwani ili kupunguza msongamano wa magari makubwa katika Jiji la Dar es Salaam. Ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tabia ya kujenga Bandari Kavu kwenye makazi ya Watu inaongezeka Buza na Mwanagati, mamlaka zimeruhusu?

    Maeneo ya Buza pamoja na mji mpya wa Mwanagati kumekuwa na wimbi kubwa sana la kupachika hizi ICD (bandari kavu) katika makazi ya watu jambo linaloleta kero kubwa sana ya malori maeneo ya makazi na kuleta foleni kubwa sana. Tunaomba mamlaka ituangalie Wananchi na kuangalia namna ya kuzisogeza...
  12. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Kuweka bandari kavu chuo kishirikishi cha Dar es salaam (DUCE) ni kukishusha hadhi chuo

    Toka ianzishwe ile bandari kavu chuoni pale chuo hakina muonekano mzuri ni vumbi kila mahali kuanzia benki ya NBC, dispensary na mageti yote ya upande wa barabara ya kuelekea Mkapa stadium Kwa maoni yangu haikuwa sahihi kuweka bandari kavu karibu na chuo kikibwa kama kile muda wote malori ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu bandari kavu ya Kwala

    Tunamshukuru Mhe. Rais kwa kufungua Bandari kavu ya Kwala. Kwenye taarifa ya Mhe. Waziri wa Uchukuzi mbele ya Rais alitamka yafuatayo:- (1) Bandari kavu itahudumia makasha takriban laki tatu kwa mwaka. (2) Huduma ya Bandari kavu ya Kwala ni asilimia 30 tu ya makasha yote yatakayoingia nchini...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu bandari kavu ya Kwala

    Jana Mhe. Rais alifungua Bandari kavu ya Kwala. Hongera sana. Kwenye maelezo ya Mhe. Mbarawa kwa Mhe. Rais alitaja mambo yafuatayo:- (1) Bandari kavu ya Kwala itahudumia makasha yanayokadiriwa 300,000 kwa mwaka. (2) Bandari kavu ya Kwala itahudumia 30% ya makasha yote ktoka Bandari ya Dar es...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa bandari kavu ya Kwala ni kama kumsumbua Rais, kama unabisha tazama picha ya bandari kavu yenyewe ilivyo

    eneo kubwa la bandari kavu ya kwala ni pori tu, limejaa nyasi tu, ila wamejenga kisehemu cha kuwekea hayo ma container kidogo sana, halafu rais ndio anaenda kukizindua, why wasijenge mpaka bandari kavu ikakamilika ndipo wakamuita rais akazindue ?
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbossa: Bandari kavu ya Kwala ni mara tano zaidi ya ukubwa wa Bandari ya Dar es Salaam

    “Bandari kavu ya Kwala ni mara tano zaidi ya ukubwa wa Bandari ya Dar es Salaam…tumetengeneza na yadi ya zege, tumeunganisha na Reli ya TRC ya MGR” - Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw. Plasduce Mbossa
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua Bandari kavu ya Kwala na uanzaji rasmi wa Treni ya mizigo ya SGR

    RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA NA UANZAJI RASMI WA TRENI YA MIZIGO YA SGR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na kuanza rasmi kwa safari za treni ya mizigo ya reli ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Julai 31, Rais Samia kuzindua bandari kavu ya Kwala, malori kuingia mjini sasa basi

    Mkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala. Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares...
  19. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Vunja Private ICDs zote Dar, ili Bandari kavu ya Kwala ifanye kazi

    Vinginevyo ni story.
  20. Bilionea Asigwa

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia mkataba na DRC kujenga bandari kavu

    Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) wameingia mkataba wa kujenga bandari za nchi kavu katika nchi zote mbili. Taarifa kutoka Tanzania zinasema DRC ndiye mtumiaji mkubwa wa Bandari ya Dar kuliko nchi zote majirani Pia kumekuwa na ongezeko la mizigo inayokwenda Kongo inayopitia...
Back
Top Bottom