Chonde waajiliwa tuache unafiki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chonde waajiliwa tuache unafiki.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by RUV ACTVIST., Feb 1, 2012.

 1. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  [h=6]Waajiliwa mnaionaje changamoto hii? kwa nini hatuwezi kusema ukweli kwa mabosi wetu, hatuna ujasiri wa kuwakosoa badala yake tunawaangalia tu wakipeleka mambo kombo? hatuwezi kusema hapana hata kama maelekezo tunayopokea hayana tija? Tunawasifia hata kama wanaharibu?[/h]
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nadhani unawazungumzia walioteuliwa na jaakaahire
   
 3. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kuaharibi kwa bosi ndio ulaji wa mtendaji
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,098
  Likes Received: 6,562
  Trophy Points: 280
  wewe una njaa halafu ukaseme ukweli
  je haujipendi, labda kitu cha hatari cha
  kuweza kuleta maafa ndo utasema
  mengine ni mbele kwa mbele tu.
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mabosi wengi wa Kiswahili hawapendi challenge toka kwa walio chini yao. Ili uwe salama ni bora kukaa kimya. Yaani hawapendi two way traffik system.
   
 6. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maboss wengi hawapendi kuambiwa ukweli au utakuta anapenda kusikiliza ushauri wa mtu mmoja tu ambaye anaamini anamsaidia lakini mwisho wake anakuja kujuta kama mattaka
   
Loading...