Chonde Kanisa Katoliki, historia inatuhukumu

Kanisa Katoliki ni wauaji wakubwa from time immemorial
Hili kanisa ni LA kuomba misamaha tangu zama za Greek/ uyunani ya akina "Galilei Galileo",

Sikh wakiruhusu mapadri kuoa watamwomba tena msaha Martin Luther.

Labda baada ya mauaji ya Halaiki kutokea hapa TZ watakuja kuomba msahama kama kule Rwanda
 
Rais wa TEC Askofu Nyaisonga amelinajisi Kanisa letu. Ameamua kuasi kiapo chake cha ukuhani cha kusimama katika haki kwaajili ya kulinda uswahiba binafsi na mtawala.

Kauli yake imelitia doa Kanisa Katoliki. Amemwumiza Kristo, ambaye fundisho lake kubwa ni UKWELI na UPENDO.

Tunaomba maaskofu wetu wote wa Kanisa Katoliki, kila jimbo, na wasaidizi wao (mapadre), watueleze waumini kama maneno ya Askofu Nyaisonga ndio msimamo wa Baraza la Maaskofu. Kama utakuwa ndiyo msimamo wa Kanisa, itatupatia nafasi waumini kutambua kuwa Ibilisi ameanza kutenda kazi yake kwa kupitia wenye mamlaka ndani ya Kanisa.

Siku zote katika vita, adui hujitahidi amteke Kamanda Mkuu maana ndiye mwenye siri za Jeshi zima.
 
Kama muvi ya avatar vile. Yaani fantasy. Endelea kutunga stori.
Hapo cha uongo kipi? Kwamba kanisa la rc halikushirikiana na wauaji Rwanda? Mapadri wao hadi pale ICRT walihukumiwa vifungo. Makanisa yao yalikuwa mabucha ya kuchinjia watusi na wahutu wa msimamo wa wastani. Kina Pengo wasipoangaliwa bado wana hamu ya Rwanda yaje hapa
 
Ulikuwepo huko ukaona? Au umeambiwa na aljazeera?
Poor mentality.
 
pumba tu...
RC sio kanisa la Bavicha kama KKKT...

Vumilieni iingie taratibu....
Rais wa TEC Askofu Nyaisonga amelinajisi Kanisa letu. Ameamua kuasi kiapo chake cha ukuhani cha kusimama katika haki kwaajili ya kulinda uswahiba binafsi na mtawala.

Kauli yake imelitia doa Kanisa Katoliki. Amemwumiza Kristo, ambaye fundisho lake kubwa ni UKWELI na UPENDO.

Tunaomba maaskofu wetu wote wa Kanisa Katoliki, kila jimbo, na wasaidizi wao (mapadre), watueleze waumini kama maneno ya Askofu Nyaisonga ndio msimamo wa Baraza la Maaskofu. Kama utakuwa ndiyo msimamo wa Kanisa, itatupatia nafasi waumini kutambua kuwa Ibilisi ameanza kutenda kazi yake kwa kupitia wenye mamlaka ndani ya Kanisa.

Siku zote katika vita, adui hujitahidi amteke Kamanda Mkuu maana ndiye mwenye siri za Jeshi zima.
 
Point sana hii

wakati huo madhehebu mengine yalifanyaje?
Hata wachungaji wa makanisa mengine walishiriki.

RC imetajwa zaidi kutokana na ukubwa wake ila kila mmoja aliuawa....

Mapadri wangapi wa RC waliuawa?

Vita ilikuwa ya kikabila.na almost kila mtu alishiriki bila kujali dini.

Acheni ujinga wenu wa kuwadanganya watoto waliozaliwa juzi.
Hapo cha uongo kipi? Kwamba kanisa la rc halikushirikiana na wauaji Rwanda? Mapadri wao hadi pale ICRT walihukumiwa vifungo. Makanisa yao yalikuwa mabucha ya kuchinjia watusi na wahutu wa msimamo wa wastani. Kina Pengo wasipoangaliwa bado wana hamu ya Rwanda yaje hapa
 
wakati huo madhehebu mengine yalifanyaje?
Hata wachungaji wa makanisa mengine walishiriki.

RC imetajwa zaidi kutokana na ukubwa wake ila kila mmoja aliuawa....

Mapadri wangapi wa RC waliuawa?

Vita ilikuwa ya kikabila.na almost kila mtu alishiriki bila kujali dini.

Acheni ujinga wenu wa kuwadanganya watoto waliozaliwa juzi.
RC mapadri walifikishwa mahakamani pale ICRT. Nitajie mchungaji au sheikh aliyeshitakiwa kwa mauaji yabhalaiki Rwanda. Mapadri wenu na Maaskofu ni wafirani na wanyanyasaji wa watoto. Dunia nzima inajua
 
Usipoamini shauri yako. Hiyo ni shida yako. Pope wako kaomba msamaha tayari. RC na mauaji ni chanda na pete. Rwanda, South Vietnam, Musolin iItaly etc. RC inanuka damu
.....hadithi njoo uongo njoo utamu kolea.......

Ningekuwa na tatizo kubwa kama ningekuamini.
 
JK alihukumiwa kwa dini yake, wa sasa anakula good life kwa sababu ya dini yake
Ndio maana namshangaa huyu sheheee wa jiji la Bashite. ukute ni sheheee mchana, usiku yuko na chair fire taratibuuuuu!
 
.....hadithi njoo uongo njoo utamu kolea.......

Ningekuwa na tatizo kubwa kama ningekuamini.
Huna sababu ya kuniamini. Subiri mpaka maaskofu au mapadri wako wakuingilie kinyume na maumbile ndiyo utaelewa. Maana ndiyo mchezo wao dunia nzima hadi kule Vatican
 
Back
Top Bottom