Chonde Kanisa Katoliki, historia inatuhukumu

Assnte kanisa mmetafuta namna rahisi ya kuchonganisha wananchi kanisa na sisiem asante kwa kutufungulia mechi rasmi sasa wananchi tutashika hatamu ama kweli nyie ni majasusi mume mwombaji me katoa mume mingi za wenye 18 again gia mumemuombea kura mkujua kabsa hatutakubali
 
RC historia yao hapo jirani Rwanda tunaijua. Hili kanisa linanuka damu za Watusi na Wahutu. Kule Songea hili kanisa kina Songea Mbano walikuwa wanabatizwa na padri kisha wananyongwa
Yaani kupigana wapigane wao kwa ujinga wa kuendekeza ukabila halafu lawama ziende kwa kanisa katoliki! Ujuha ndio huu.

Kwa hiyo kila palipo na vita kanisa linahusika!!.
 
Mleta mada hii habari ya wauaji kuingia makanisani hao maaskofu na mapadre walikuwa hawana jeuri ya kuwazuia wauaji wasifanye uuaji.

Zipo video za wazungu waliokuwa wanakataa kuwapandisha watutsi kwenye mabodi ya pickups zao wakati wao wazungu wakiondoka Rwanda.

Wakati vita ikiendelea April 1994 pale kwenye maktaba ya USAID ghorofa ya tatu jengo la Peugeot taarifa za habari za ABC zilikuwa zikionyesha habari ya mauaji kwa kina.

Usielekeze lawama zako kwa kanisa katoliki kwa sababu tu unazo chuki dhidi ya mpakwa mafuta Kardinali Pengo.
 
Kanisa Katoliki ni wauaji wakubwa from time immemorial
20191120_070822.jpg
 
Wanajua hata TZ ikitokea wametumika kuua na huku pia watakimbizwa ITALY na watabdili majina wataitwa Antonio mwakanaile Alehandro.....Ndo maana wanakiburi cha kuungana na Mnyongaji
 
Bro nakuonea wivu kwa moyo wa ajabu. Unatumia nguvu kubwa kumuelewesha mtu 'anayejua kila kitu'. Mimi nisingemjibu huyu.
Huwa sasa hawakubali, inabidi hata umletee speech za PAPA wao akikiri kuwa mapadre wanakula watoto wadogo nyuma na watoto mabikra, kwenye media huwa wanatumia neno laini UDHALILISHAJI WA KINGONO lakini kiswahili kilicho nyooka ni ufira33
 
Niliandika miaka mingi na nikaweka links za ushahidi uharamia unaofanywa na Kanisa Katoliki.

Licha ya ushiriki wao mauaji ya kimbari Rwanda pia wanashiriki katika kila uhalifu wa kutisha kuanzia kulawiti watoto wadogo, mapadri na makasisi kulawitiana wao kwa wao ndani ya pazia la kanisa. Kutakatisha frdha chafu, kujihusosha na magendo na ufisadi mkubwa mkubwa duniani.

Hili kanisa ni janga la Kimataifa. Nawashangaa wanaolishabikia.

Hakika dini kwa Mwenyeezi Mungu ni Uislam.
Peleka huko upuuzi wa ugaidi wenu wa kiislamu
 
Back
Top Bottom