chonde chonde wana JF nawaomba msizini mkiwa somalia

.....akaangalia chini halafu akawa kama anaandika kwa kidole akasema" Asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe" Wakasemezana mioyoni mwao ,wakaanza kuondoka mmoja mmoja vijana kwa wazee. Akasema wako wapi waliokushitaki? Nami sikuhukumu, enenda zako usitende dhambi tena.
 
Ninataka sheria hii itumike kwa wabakaji wote!!! Kwa kuanzia!! Maana wale wengine mnakuwa mmekubaliana kubanjuana!!
 
.....akaangalia chini halafu akawa kama anaandika kwa kidole akasema" Asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe" Wakasemezana mioyoni mwao ,wakaanza kuondoka mmoja mmoja vijana kwa wazee. Akasema wako wapi waliokushitaki? Nami sikuhukumu, enenda zako usitende dhambi tena.

....Lakini adhabu kama ilivyonukuliwa na vitabu (Tourat) hakuifuta ! Ikabakia pale pale !
 
.....akaangalia chini halafu akawa kama anaandika kwa kidole akasema" Asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe" Wakasemezana mioyoni mwao ,wakaanza kuondoka mmoja mmoja vijana kwa wazee. Akasema wako wapi waliokushitaki? Nami sikuhukumu, enenda zako usitende dhambi tena.

ukiwaeleza ayo maandiko somalia sijui watakufanya nini!!
 
attachment.php

Ndani ya Somalia siruksa, kwahiyo nje ya Somalia uzinifu ruksa?:majani7:
 
Back
Top Bottom