Chonde chonde nguvu ya umma.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chonde chonde nguvu ya umma....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Leornado, Feb 28, 2011.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwa yanayojiri Libya, nguvu ya umma inaweza kuturudisha kwenye umaskini zaidi ya huu tulio nao. Uharibifu wa mali, uhalifu na kuuana hovyo ni mambo yanayopewa nafasi ya mbele. Kwa mnaopendekeza nguvu ya umma itumike kuondoa mafisadi, chonde chonde tusije ingiza nchi matatizoni kivita na kuwa wakimbizi, sijui tutakimbilia wapi manake kwa majirani zetu karibu kote ni instabilities.


  Tanzania kisiwa cha amani nakupenda sana.
   
 2. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mawazo mgando!!! That is "Better the devil you know ..."
   
 3. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nashangaa una mawazo hayo wakati signature yako ni ya activism: "Support your Lawyer...sue somebody"
   
 4. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni bora nchi ikasambaratika tukaanza moja... kuliko hapa tulipo sasa!!!!!
   
 5. L

  Leornado JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Iwe mawazo mgando au myeyuko, ishu hapa ni kutoingiza nnchi kwenye machafuko. Wakongo wako wapi tangu Mobutu aondoke 1997?
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  Watu wanaoshabikia siasa za fujo na uvunjifu wa amani huwa wana akili za ki-kriminali (criminal minds).
  Wanashabikia fujo ili tu wafikie kilele cha matamanio yao ya yale wanayokusidia, iwe kuona damu, kuiba, kupora, kubaka, kudhulumu, kutesa na kadhalika. Huwa hawana nia thabiti ya kutaka mafanikio ya wengi. Yao yakifanikisha ndio climax yao ya u-sadisti.
   
 7. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Kuna wizi mwingi hasa kwenye madini tukiwapindua hawa kwa amani watakaoingia wanaweza hata ku-provide social services bure kama wakiwa serious.
   
 8. semango

  semango JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  tutanyonywa mpaka lini?watu wanaishi maisha magumu hata mlo mmoja ishu halafu we unaongelea kuogopa vita?au wewe ni kati ya wale wachache walio ktk upande unaobenefit?hapa vyovyote vile na iwe lakini lazima ifike wakati twende sawa.tumechoka kua chini kila siku.tukimbizane heshima irudi ili tusichezewe movie za kijinga kama ilivyo sasa hivi
   
 9. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Here they come again with their song ya amani na utulivu....to hell!!
   
 10. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Wameshaanza kuogopa yanayotokea kanda ya Ziwa.
  Muziki bado Leonardo, just wait and see.
   
 11. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  mwoga!!!!!!!!!
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  'Peace is more than the absence of war"
   
 13. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,173
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  Mwanangu ni heri kwako kuwakemea kwa nguvu zako zote (usikemee ulipo anguka bali ulipo jikwaa) wale wanaodhulumu hadi uma unateseka ndani ya nchi hii tajiri.
   
 14. I

  Isekuu Member

  #14
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hali tuliyo nayo ni bora tuingie gharama tuijenge upya nchi yetu hata hao waliofanikiwa walipitia kipindi kigumu. Huipendi nchi yako bwana!! Tusibweteke na maisha tuliyonayo.
   
 15. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  mtoa mada lengo lake ni nini hasa? na pia onyesha njia mbadala ya kuwatoa mafisadi kama unaona nguvu ya umma haifai
   
 16. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo liko kwenye serikali inapotumia mabomu na silaha za kivita kupinga kuondolewa madarakani na nguvu ya umma. Bila ya nguvu ya umma usitegemee mafisadi kuondoka! Kuandamana kuiondoa serikali madarakani ni haki ya wananchi na ni kielelezo cha kushindwa kwa serikali kama ilivyoshindwa ya CCM
   
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Nguvu ya uma haizuiliki kama kuna dhulma kwa hiyo kila mtenda haki hawezi kuogopa nguvu ya uma kamwe.
  Mafisadi wasubiri kiama,.
   
 18. V

  Vancomycin Senior Member

  #18
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  coward...........enzi za kina Okonkwo sijui kama ungeufikia uzee
   
 19. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Ujinga ndo unakusumbua. Kwani hujawahi kuifisadi nchi hii kwa mkono wako au akili yako au kwa kunyamazia ufisadi au kusaidia? Anza na wewe mwenyewe kama kweli una uchungu kihivyo.
   
 20. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu Saharavoice,
  yaani umenifanya nicheke kwa hiyo mistari miwili mifupi-fupi
   
Loading...