Chonde chonde ma sista du!

Chonde chonde ma sista du!

pole yake wengine tujifunze kwa makosa ya huyo dada hapo
 
Huwa hawakomi,sio kama hawajui kuna madhara.Jiulize kuhusu maonyo yanayotolewa kuhusu kujichubua,umeshaona kuna dalili za kuacha! yaani kila kukicha ndio wanaongeza speed.
 
kwani wananenepesha matako kwa ajili gani..??...[emoji45] [emoji45] .. hivi kwenye kuanzisha mahusiano,matako makubwa ni kigezo..??...?
 
Mimi nimesha anza tunza akiba ya kumsaidia wema sepetu. Maanda ma yeye very soon anaelrkea uko.[
 
Acheni uongo, huyu msichana ni Mtanzania.

Anaugua maradhi mengine tofauti. Alipigwa hii picha akiwa anaomba msaada wa matibabu.
 
Back
Top Bottom