jacjaz
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 440
- 205
Amani iwe nanyi nyoote!
Jamani,hivi ni kwanini JF mko hivi!? leo mtu analeta mada yake,wengine wanaanza kuponda kuwa ni utoto au ufinyu wa mawazo. Kesho,huyo huyo mtu aliyeponda na kukandia mada ya mwenzake analeta yake ya kijinga zaidi,mfano mtu anadai anamatatizo na haucgeli wake au mchumba wake! swali linakuja,hivi hatujui kuwa kuna utofauti wa kimawazo,kifikra na kiakili kati yetu sisi wanadamu!? yani,lililokubwa kwako si lazma mwengine alione kubwa and viceversa! km kuwa great thinker ni hivi,nadhani hii maana itolewe ufafanuzi zaidi.
tafadhali tutambue tofauti zetu na tuheshimu mawazo na shida za mtu mwingine hata kama ni za darasa la 2 kwa wengine! nawasilisha....