Miaka hamsini ya uhuru wewe bado unasema sisi ni nchi changa????na RWANDA utawaelezaje???tambua kuwa mabadiliko ya kuelekea kwenye ubora wa maisha yana gharama zake hasa kwa tawala kandamizi,uhuru unaosema wewe ni huo wa kutembea popote ilimradi huvunji sheria???kutobughuziwa mtaani kwako,kwenda kibaruani kwako na kurejea nyumbani bila adha???UHURU NI ZAIDI YA HAYO.Kama sio CDM kufichua mambo ya ufisadi mkubwa wa EPA wewe ungeyajulia wapi japo serikali kabla ya hapo iliyakanusha kwa nguvu zote???iwe ni kwa maandamano na mkutano wa hadhara twende temeke uwoga hautakusaidia wewe wala kizazi kijacho.Bunge haliwezi kuendeshwa kama mtu yuko kwenye familia yake.kaka ben huwezi fananisha ujerumani na tanzania kumbuka kule kulikuwa na utawala dhalimu,,,, mandela alipambana na wakoloni sasa sisi tuko huru tunajitawala wenyewe unajua kuruhusu maandamano hovyo inaweza kutokea ya misri nchi yetu ni changa sana kubeba madhila hayo ni bora tuone mbali bora ungefanyika mkutano bila maandamano
tumeambiwa ni maandamano ya kuwapokea wabunge wetu toka dodoma
hahaha tofauti yangu mi na wewe ni kwamba wewe umeshajikinaiMwaka wa nguvu ya umma, nyie watu wa Dar ni vilaza sana na ndio mnachelwesha maendeleo na mabadiliko ya nchi hii... Ngojeni kamanda wa ardhi LEMA awaonyeshe santuri za kucheza na hao watototo wa Said Mwema!!!
mkuu hakivunjwi kifungu chochote tatizo ni hofu juu ya hayo maandamano huenda yakazua vurugu:majani7:Unaweza kuwaambia watu hapa, sheria ipi ya nchi au kifungu kipi cha katiba kinavunjwa kwenye mapokezi ya kesho kuwapokea wabunge wa upinzani.
Wabunge wa chadema kuweni makini na mbatia huyo atawaharibia huyo anatetea ccm tu mjue,kusema kwamba shuleni hakuna mitaala ya kueundishia hata mmoja ni ujinga mana angeenda shule yoyote angepata angesema michache hapo anatengeneza kitu kuonyesha wapinzani waongo wakati yeye ndo muongo,hatar huyo ni janja ya ccm hyo.takecare.
sasa maandamanop yatabadilisha mwelekeo wa bunge???Miaka hamsini ya uhuru wewe bado unasema sisi ni nchi changa????na RWANDA utawaelezaje???tambua kuwa mabadiliko ya kuelekea kwenye ubora wa maisha yana gharama zake hasa kwa tawala kandamizi,uhuru unaosema wewe ni huo wa kutembea popote ilimradi huvunji sheria???kutobughuziwa mtaani kwako,kwenda kibaruani kwako na kurejea nyumbani bila adha???UHURU NI ZAIDI YA HAYO.Kama sio CDM kufichua mambo ya ufisadi mkubwa wa EPA wewe ungeyajulia wapi japo serikali kabla ya hapo iliyakanusha kwa nguvu zote???iwe ni kwa maandamano na mkutano wa hadhara twende temeke uwoga hautakusaidia wewe wala kizazi kijacho.Bunge haliwezi kuendeshwa kama mtu yuko kwenye familia yake.
Poa nipo kariakoo na nunua helmet ya mama watoto wako na yanguVaeni helmet.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Na TANU ingesema "hata biblia inatuagiza" tungekuwa wapi?
mkuu tulitangaziwa maandamano
haya tunayoshabikia siku moja yatatutokea puaniHata nzi wala sisimizi hatakufa!Ni dhahiri ukipitia historia zote,utawala wowote wenye udhalimu daima hutumia nguvu kuwahadaa na kuwadanganya wananchi na wapigania haki kwa lengo la kujisafisha na kuendelea kutawala!Tukiogopa hilo wataendelea kutunyonya ilhali tutaendelea kuteseka katika umasikini wakati tumejaliwa rasilimali nyingi na utajiri wa kutosha!Ni haki ya kila mtanzania kuandamana kwa amani!Kuzuia hilo ni kumnyima mwananchi haki yake ya kidemokrasia na kikatiba.CHADEMA wako sahihi kabisa.
mkuu hakivunjwi kifungu chochote tatizo ni hofu juu ya hayo maandamano huenda yakazua vurugu:majani7:
umesahau?? morogoro,, arusha nk. halafu kinachotia hofu ni lengo kuu lililobeba hayo maandamanoMkuu kumbe unapiga ramli? Mi nilikuomba awali jambo dogo sana, lakini unakimbia kimbia tu, tutajie mapokezi yapi au basi maandamano yaliyowahi kuibua vurugu! Yaani watu wasitimize haki na wajibu wao wa kikatiba kwa sababu ya hofu za kutengenezwa na CCM wakiwatumia polisi.
haya tunayoshabikia siku moja yatatutokea puani
hivi tunapigania uhuru au?? wenzetu mbona mnatuchanganya uhuru si tulipata 1961 uhuru wa pili niujuao ni ule wa yesu atakaoleta kutukomboa na madhila ya yule mwovuAsante kiranga,watu wameegemea nguzo wasiyojua uimara wake,tunaishi kwa kudhani,na kuamini visivyoaminika,tunaishi kwa kutegemea miujiza.
haya kila la heriTufanyeje mkuu,we umeridhia na kukubaliana wanayofanya CCM?Umeridhia kabisa kilichofanyika bungeni?Hatima ya mwananchi iko wapi wakati mawazo yao yanazuiwa?Wapi utashitaki serikali kama siyo kwa wananchi!?Take it easy boy!You will see it tommorow!They can do what ever they want but God is in our side.
Andamaneni muone Afande Kova tayarisha risasi za kutosha atakae katiza mlaze chini hao mambululu wasituletee fujo katika nchi yetu ya amani.<br />By mwungwana<br />
mkuu tulitangaziwa maandamano
<br />
Hata nzi wala sisimizi hatakufa!Ni dhahiri ukipitia historia zote,utawala wowote wenye udhalimu daima hutumia nguvu kuwahadaa na kuwadanganya wananchi na wapigania haki kwa lengo la kujisafisha na kuendelea kutawala!Tukiogopa hilo wataendelea kutunyonya ilhali tutaendelea kuteseka katika umasikini wakati tumejaliwa rasilimali nyingi na utajiri wa kutosha!Ni haki ya kila mtanzania kuandamana kwa amani!Kuzuia hilo ni kumnyima mwananchi haki yake ya kidemokrasia na kikatiba.CHADEMA wako sahihi kabisa.
haya kila la heri