we HATUTAKI stori zako za UDINI hapa majini yako peleka baharini tunaongelea vyama hatuko kidini sie katika suala hilo niko serious sitaki kabisa tupishe sawa usitugaweAndamaneni muone Afande Kova tayarisha risasi za kutosha atakae katiza mlaze chini hao mambululu wasituletee fujo katika nchi yetu ya amani.
Halafu nyie chama cha mapadri na wachungaji walioasi kondoo wa bwana "Chadema" ingalikua maandamano haya yalipangwa na waislam mungalisikia hapa jinsi wanavyotukanwa,sasa namuomba huyo kibabu chenu aka padri muasi na dj mpiga disko waongoze maandamano
kaka ben huwezi fananisha ujerumani na tanzania kumbuka kule kulikuwa na utawala dhalimu,,,, mandela alipambana na wakoloni sasa sisi tuko huru tunajitawala wenyewe unajua kuruhusu maandamano hovyo inaweza kutokea ya misri nchi yetu ni changa sana kubeba madhila hayo ni bora tuone mbali bora ungefanyika mkutano bila maandamano
Nimwupenda unafiki wako pia!!ni kama kinyago cha mmasai kwenye jumba la makumbusho,unapompenda adui yako!!!think twicenimeipenda hii
Udini umetoka wapi tena mkuu?Nia ni kuwaeleza wananchi wanavyonyimwa haki zao kupitia wawakilishi wao bungeni!Kova anatakiwa kutoa ushirikiano wa ulinzi na siyo kujaza mabomu na risasi kwa ajili ya waandamanaji!Polisi wapo kwa ajili ya ulinzi wa raia na siyo kujaza risasi na mabomu kwa ajili ya kuua raia!He can do what ever he want but he will end the normal natural end(death) like others!Auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga.Andamaneni muone Afande Kova tayarisha risasi za kutosha atakae katiza mlaze chini hao mambululu wasituletee fujo katika nchi yetu ya amani.
Halafu nyie chama cha mapadri na wachungaji walioasi kondoo wa bwana "Chadema" ingalikua maandamano haya yalipangwa na waislam mungalisikia hapa jinsi wanavyotukanwa,sasa namuomba huyo kibabu chenu aka padri muasi na dj mpiga disko waongoze maandamano
hahaha tofauti yangu mi na wewe ni kwamba wewe umeshajikinai
Andamaneni muone Afande Kova tayarisha risasi za kutosha atakae katiza mlaze chini hao mambululu wasituletee fujo katika nchi yetu ya amani.
Halafu nyie chama cha mapadri na wachungaji walioasi kondoo wa bwana "Chadema" ingalikua maandamano haya yalipangwa na waislam mungalisikia hapa jinsi wanavyotukanwa,sasa namuomba huyo kibabu chenu aka padri muasi na dj mpiga disko waongoze maandamano
Mnakuja kuleta msongamano wa magari tu na maandamano yenu ya kipuuzi. Huruma za wanadar hamtakuja kuzipata. Tafuteni mbinu zingine.
Hebu nipe maana ya mtaala/mitaala halafu tuendelee.
umesahau?? morogoro,, arusha nk. halafu kinachotia hofu ni lengo kuu lililobeba hayo maandamano
Wandugu nawaomba viongozi na wanachama wote wa CHADEMA kuachana na suala la maandamano ya DSM nawashauri watii mamlaka zilizopo hata biblia inatuagiza.
Tutaumiza wanachama wetu bure chonde chonde jamani AMANI NI KITU CHA THAMANI KUBWA HAIPATIKANI KWA BEI RAHISI
Nadhani umeongea kinyume mkuu, kwa sababu wenye hofu ni watawala(CCM) walioko madarakani hivi sasa, na hofu yao kubwa ni kunyang'anywa mamlaka, kwa kuwa hawana uhakika juu usalama wa maisha yao pindi watakapokuwa wamenyang'anya mamlaka.
Wanaojirundikia mali ni CCM ndio maana wamekwenda kuzificha Uswiz wengine wanasema ni vijisenti, wameuza wanyama wetu, madini yetu na sasa wanaitaka gesi yetu.
Marejesho wanayotuletea wananchi ni NETI na CONDOM
Dr Slaa hana hofu wala woga wa aina yoyote ndani ya moyo wake, alishasema amewahi kutishiwa uhai mara 3 ya uhakika ila hajatetereka na bado anaendelea na mapambano.
wewe unapiga domo tu huna ubavu wa kusogelea kitu chenye ncha kali
Kifupi tu sema huelewi chochote kuhusu issue hiyo,unajaza server bure.Kamuulize Mbatia kwenye maandano kesho....