TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,046
Wenye mamlaka ya mwisho ni wananchi!viongozi wa serikali ni waajiliwa wa wananchi,hivyo basi tamko la wananchi ni final and conclusive!mamlaka imekataa sasa utalazimisha?
Wenye mamlaka ya mwisho ni wananchi!viongozi wa serikali ni waajiliwa wa wananchi,hivyo basi tamko la wananchi ni final and conclusive!mamlaka imekataa sasa utalazimisha?
kaka ben huwezi fananisha ujerumani na tanzania kumbuka kule kulikuwa na utawala dhalimu,,,, mandela alipambana na wakoloni sasa sisi tuko huru tunajitawala wenyewe unajua kuruhusu maandamano hovyo inaweza kutokea ya misri nchi yetu ni changa sana kubeba madhila hayo ni bora tuone mbali bora ungefanyika mkutano bila maandamano
Wandugu nawaomba viongozi na wanachama wote wa chadema kuachana na suala la maandamano ya DSM nawashauri watii mamlaka zilizopo hata biblia inatuagiza tutaumiza wanachama wetu bure chonde chonde jamani AMANI NI KITU CHA THAMANI KUBWA HAIPATIKANI KWA BEI RAHISI
ndugu yangu naangalia interest za utaifa si familia
Amani ni tunda la haki.Akina Mandela na Steve biko wangeendelea kuitii malaka ya Makaburu hadi leo hii sijui wangekua wapi..
Dunia Ingeendelea kutii Mamlaka ya Adolf Hitler na Hegemony ya chama chake cha NAZI sijui leo Dunia ingekuaje!
Hata mitume na Manabii wa dini zote walilazimika kupambana na mamlaka zilizokuwepo ili kuleta haki na ukombozi kwa watu.Itumie mishafu vizuri
endelea na mambo ya biblia utakuwa masikini
Amani ni tunda la haki.Akina Mandela na Steve biko wangeendelea kuitii malaka ya Makaburu hadi leo hii sijui wangekua wapi..
Dunia Ingeendelea kutii Mamlaka ya Adolf Hitler na Hegemony ya chama chake cha NAZI sijui leo Dunia ingekuaje!
Hata mitume na Manabii wa dini zote walilazimika kupambana na mamlaka zilizokuwepo ili kuleta haki na ukombozi kwa watu.Itumie mishafu vizuri
Ndugu Mungwana, kuna uhusiano gani kati ya watu kutembea na kuumizwa?Wandugu nawaomba viongozi na wanachama wote wa CHADEMA kuachana na suala la maandamano ya DSM nawashauri watii mamlaka zilizopo hata biblia inatuagiza. Tutaumiza wanachama wetu bure chonde chonde jamani AMANI NI KITU CHA THAMANI KUBWA HAIPATIKANI KWA BEI RAHISI
Wandugu nawaomba viongozi na wanachama wote wa CHADEMA kuachana na suala la maandamano ya DSM nawashauri watii mamlaka zilizopo hata biblia inatuagiza.
Tutaumiza wanachama wetu bure chonde chonde jamani AMANI NI KITU CHA THAMANI KUBWA HAIPATIKANI KWA BEI RAHISI
Wanajambisha hao wanaubavu wa kutoka,dar sio arusha
Kwa Chadema kuitisha maandamano wewe kimekuuma kitu gani...kama hutaki si ukae nyumbani wewe na mke wako uone kama kuna mtu atakuja kukuita.wananchi gani wametaka maandamano??