Chonde Chonde CHADEMA, pelekeni wabunge bungeni. CCM wanajuta hata kuwapa hizo idadi ya kura iliyowafanya mpate nafasi 19

Acha kuhangaika kuwaza vitu ambavyo haviwezekani. Kwa sasa wamepata viti 19 waende bungeni. Watakuwa wanatoa hoja walau zitaifanya serikali isijione ipo sawa asilimia 100.
Hakuna namna, Mbowe amegoma kabisa.
 
Too sad.Bungeni watakwenda kutetea maslahi ya nchi. Sauti na harakati zao ni muhimu sana bungeni. Huo nilitoa mfano tu.Jifunze kufikiri na sio kuchukua kitu kama kilivyo.

Hilo bunge siyo chombo cha kutetea maslahi ya wananchi kwakuwa Hawa kuchaguliwa na wananchi hawawezi kutetea wananchi hicho ni chombo cha kutetea CCM waendlee na bunge lao wananchi tutajitetea wenyewe
 
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.

Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba msipeleke hao wabunge 19.Lengo lao lilikuwa msipate hata viti maalum sema walikosea mahesabu wakawapa kura zilizofanya walau mpate hao wabunge 19.

Halima Mdee, Esther Matiko (my role model)Ni muhimu sana kuliko hao wabunge 200+ wa CCM wengi wao vilaza na kazi yao itakuwa ni ndiyooôo.

Kasomeni kitabu cha Mandela "A long walk to Freedom "Safari ya kupata uhuru si mchezo.

Hivi mnafikiri Mandela angegoma kutoka gerezani eti kisa alifungwa basi afie jela ingekuwa faida kwa nani ?

Ni sawa na nyie mnagoma kupeleka wabunge kisa mmefanyiwa rough.

Yes mmefanyiwa rough,ila kutopeleka wabunge ndo kutawasaidia nini?

Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni.

Kumbukeni tu kuwa mnakwenda kupigwa kufuli huku nje kwa muda wa miaka mitano. Mmepata hizo nafasi 19 msizichezee. Mtakuja kujuta.
Hatutaki kwenda bungeni wewe unatushauri kama nani??
 
Hakuna mwaka kura zilikuwa zina ka Marwa kwenye mabegi na polisi wanakabidhiwa halafu hata mtuhumiwa mmoja hakuna maana yake huo wizi ulikuwa na Baraka za vyombo vyetu vya dola waendelee tu bunge lao hakuna kisicho kuwa na mwisho
Kuandamana mmeshindwa,kwenda bungeni hamtaki. Basi Chadema subirini kupotea tu kama kile chama kilikuwa Cha Mrema.
 
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.

Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba msipeleke hao wabunge 19.Lengo lao lilikuwa msipate hata viti maalum sema walikosea mahesabu wakawapa kura zilizofanya walau mpate hao wabunge 19.

Halima Mdee, Esther Matiko (my role model)Ni muhimu sana kuliko hao wabunge 200+ wa CCM wengi wao vilaza na kazi yao itakuwa ni ndiyooôo.

Kasomeni kitabu cha Mandela "A long walk to Freedom "Safari ya kupata uhuru si mchezo.

Hivi mnafikiri Mandela angegoma kutoka gerezani eti kisa alifungwa basi afie jela ingekuwa faida kwa nani ?

Ni sawa na nyie mnagoma kupeleka wabunge kisa mmefanyiwa rough.

Yes mmefanyiwa rough,ila kutopeleka wabunge ndo kutawasaidia nini?

Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni.

Kumbukeni tu kuwa mnakwenda kupigwa kufuli huku nje kwa muda wa miaka mitano. Mmepata hizo nafasi 19 msizichezee. Mtakuja kujuta.
Hawajui wao kuwa ni chumvi au chachu ya mabadiliko. Chumvi huwa haihitajiki kwa wingi kukoleza mbega au chakula, chachu pia huhitajika kidogo sana kugeuza mchanganyiko wa unga wa ngano na maji kuwa mkate.

Naungana na wewe,waende tu na wala wasiangalie uchache wao,sisi watanzania kipekee kabisa kiroho,kimwili na kiakili tupo pamoja nao,wala wasiogope kabisa.
 
Hatutaki kwenda bungeni wewe unatushauri kama nani??
Nyie CCM ndo hamtaki Chadema wapeleke wabunge bungeni.Maana hoja zao huwa zinawakera sana nyie. Mlikosea mahesabu mkawapa idadi ya kura iliyofanya wapate viti maalum 19.
 
Tuko tayari kwa hilo.
Hii ni sauti ya mtu asiye na matumaini. In this life ili ufike katika uhuru wa kweli kuna milima na mabonde the only solution unatakiwa uwe na mentality ya "NEVER GIVE UP"
 
Back
Top Bottom