Choka mbaya, Mungu hamfichi mnafiki

Baada ya kuonekana ana busara na kuanza kuzungumzwa kama mmoja ya watu wenye sifa ya kuongoza nchi siku za usoni, wahuni wakaamua apewe wizara yenye makando kando mengi ili kumharibia kabisa CV yake. Na kwenye hili kwa kweli wamefanikiwa.
 
Hii ndiyo agya yake ya zamani? Inawezekana hela anayo, but ile kuwa leo hana madaraka inamtesa sana. Amekonda sana!
Vitu vingine jamani havihusiani na siasa, binadamu wakati Mwingine tunapata na madhila mbalimbali ikiwemo kuungua n.k
Tuombeane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…