Choka mbaya, Mungu hamfichi mnafiki

Choka mbaya, Mungu hamfichi mnafiki

Bashungwa na ukatili wake umemrudia. Mungu mkubwa.
Mbona maelezo na video ni vitu viwili tofauti. Happ huyo baba anamwambia walichukua mita. Yeye wnauliza wako wangapi? Kamq unadhani kafulia, hata huyo jamaa na mke wake wana ela na mashamba ya mikahawa na kiwanda cha mama alaska
 
Nasema amekonda. Amechoka na si kwa vile hana hela, hapana hela anayo. Ile kukosa madaraka, kuwa nje ya core family ya ccm
 
Mbona maelezo na video ni vitu viwili tofauti. Happ huyo baba anamwambia walichukua mita. Yeye wnauliza wako wangapi? Kamq unadhani kafulia, hata huyo jamaa na mke wake wana ela na mashamba ya mikahawa na kiwanda cha mama alaska
Hakafulia, hela anazo sana tena sana. Ile kikosa madaraka na kuwa nienya mfumonwa core ccm.....it seems inamtesa sana. Amekonda
 
Back
Top Bottom