Which ones to prefer Mars or Snickers, lol...
chocolate chocolate........I like chocolate......
hivi, snikaz si ni viatu?
Kijana wangu huwa namsikia anaita viatu fulani snikaz, kumbe na chocolate kuna snikaz?
sitaki pipi kali......
Which ones to prefer Mars or Snickers, lol...
Zipo konnie tena tamu hizo usipime.
weight iko poa?
Maana vyakula vya sukari na uzito ni kama kiberiti na kituo cha kuuza petrol
basi hata Bigijii...
me like chocolate ...tena zile zinatengenezwa Ghana ...chips za nn tena ?
itachafua meno yangu.....kutafuna bigijii ni kipaji ujue......
niko fit kabisa....nilikuwa na kilo 98 sasa nina 86....nimeimpruvu mno......
za Ghana...? yes....nakumbuka cacao Ghana...napenda chocs za Ghana.....zinaitwaje.....zinapatikana wapi.....?
Snickers, Bounty, Ferrero Rocher na kila aina.....napenda wao sana....na juice pia za Ceres......
kuna zile bounty, ndo nazijua na zile dayari milk.
dah, kuleni bana nyie bado vijana
sie umri ushakuwa wa kutembbea na kopo la valium.
he he he
nina mpango wa kuandaa BBQ kwangu
utaniuzia kilo 20 za nyama ya kuchoma.
Sikio moja litatutosha kabisa.
nitakupa na shingo....eneo la shingo linahitaji upunguzaji.....