Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
hizi picha hazipo pale kwenye ukuta wa jangwani sec kweli?
wewe ulianza lini????
Nina mjomba wangu wa kike anaesoma form three,amekuwa na mtindo wa kutoroka na kwenda kwa jamaa ake usiku kila mara pasipo sie kujua sasa tumeligundua na kuwafumania huo usiku na mpaka sasa hivi wapo ndani (jela) je!?mnanishauli niwafanyeje!?

elimu kwanza jamani. form 3 mbona mdogo sana? atakuwa kaanza lini mchezo huo wa kubanjuliwa?
bila kumsahau handsome boy mr mkisi lol. Mabinti tarabusi chini ya marehem mama mkamati na mama mabulaWapi mama nkya n anko mbowe.
Sista keshaonja tam huyo wamuache tu kwanza kwakuwa hataambilika mpaka atakaposhibishwa ,kumbuka msimu wa ndimu na maembe mabichi unakaribia