..hahahahahaa..mie picha sijampiga mtu..pia nilikua na kifaa maalumu picha ukipiga haitoki...hahahaha..halafu nilivaa ushungi..kuzipa face...ila km ziko...nitazipata tu...mambo vipi lkn..mzim wewe..naona umemiss PM
kupunguza umbea humu cc naomba Invisible aweke kinotification endapo mtu atakumention huko pm unapata notification kwamba flani na flani have mentioned you in zeiya pm ,ili uwawashie moto
nasikia watu wanasema watu sana huku cc HUKO PM
ila umbea ukizidi humu karibuni sana mmu mje kusmile!
naogopa utanitumia picha za WP,...hahahahaahahahaHata wewe hujawahi kunipm loo
kupunguza umbea humu cc naomba Invisible aweke kinotification endapo mtu atakumention huko pm unapata notification kwamba flani na flani have mentioned you in zeiya pm ,ili uwawashie moto
nasikia watu wanasema watu sana huku cc HUKO PM
ila umbea ukizidi humu karibuni sana mmu mje kusmile!
kupunguza umbea humu cc naomba Invisible aweke kinotification endapo mtu atakumention huko pm unapata notification kwamba flani na flani have mentioned you in zeiya pm ,ili uwawashie moto
nasikia watu wanasema watu sana huku cc HUKO PM
ila umbea ukizidi humu karibuni sana mmu mje kusmile!
naogopa utanitumia picha za WP,...hahahahaahahaha
..nimependa hiii....Mi mwenyewe sina picha ya kwanza nlipiga graduation,ya pili ntapiga kweye gra duu NBAA ya tatu kwenye kitchen party yangu ya nne kwa harusi yangu.
Tano Mungu akijaaliwa nikiwa na tumbo la kutotoa.
Ya sita nitapiga mi na mtoto wangu.
Saba mi mtoto wangu,babake.
Baaaas sasa nitakuwaje na pix za watu wakati mi nikipigwa mashetani yanapanda?he he ila passport size photo zao ninazo nakupm sasa hivi
Kuna picha nasikia zinatembea pm za white party ha ha usnitch hauishi humu nakumbuka kipaji halisi nilikataa kunipiga picha nilijua madhara yake loo

Hili jukwaa yule pepo mchafu bado analiandama.
Mamaeee ukinisema mm nakukata shingo live......
PM System ya JF hairuhusu mtindo wa ku-UPLOAD picha kutoka kwenye LOCAL MEDIAS...the only option available ni kutoa kwenye WEB-LINKS
This is too much ungekuja na id yako ya siku zote why undercover?huu ni usnitch uliokubuhu
I don't beleive in hear say . . . .unless say you are one of them!
Subiri sasa ivi to mix ID original na hii hapa anayo itumia.