Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,688
Like.....
nipe zawadi basi shem..
Like.....
nipe zawadi basi shem..
CC ya 2013 bana ah!haya tutafika tu!
Shkamoo mwalimu snowhite
bora uniamkie tu!
mi humu shuleni kwenu hata sikuelewi siku hiz
ratiba haifuatwi
sheria za shule zinakiukwa
wimbo wa shule hauimbwi
theory ya reward na punishment kama haifanyi kazi
vipindi vinachanganywa
masomo nayo mitaala imebadilihshwa basi mradi ah!
sijui lakini ngoja tuone!
nimeshamaliza homework lakini
mambo mpendwa?
Mambo powa tu mpendwa, vp kababy kanakua vizuri in her mom's womb?
anakua vizuri tu ila mama yake ndo hajapata maembe yale!